Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
ushoga
ni
sana
ni
sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeshakunywa mkojo wa.....kama kumuenzi mumewe, maana huwezi kuandika haya kabla hujanywa mkojo!Wakuu salaam.
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka kwa mnyetoshaji wangu aliyepo CHADEMA makao makuu zinaeleza kwamba kuna mgo goro mkubwa umeibuka ndani ya chadema hivi sasa ambapo chama hicho kipo kwny uchaguzi wa ndani na chanzo cha yote haya ni mwenyekiti aliyepo madarakani hv sasa mh Freeman mbowe kuwashughulikia wasiomuunga mkono na wale wanaotaJwa kugombea nafasi hiyo.
Mbowe anatumia gharama kubwa ikiwamo pesa na madaraka kuwafinya wote wanaoonekana kumbua kichwa na kwa kuwawekea maboya katika maeneo Yao wasifurukute kkwenye chaguzi ngazi za chini hususan majimbo mikoa n.a. kanda ambapo ndio wanapatikana wapiga kura as mkutano mkuu wa taifa.
Hakika mbowe ni king muswati na huenda aakafia kwenye kidonda kama nzi
Well said!Kanusha kwa data mkuu. Acha kubwabwaja unatia aibu
Mkuu hawatakaa wkuelewe na hii post. Wakisikia jina la Mbowe linatajwa kwa kulaumiwa wako radhi waache wake zao waje wamtetee, subiri uone.Wakuu salaam.
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka kwa mnyetoshaji wangu aliyepo CHADEMA makao makuu zinaeleza kwamba kuna mgo goro mkubwa umeibuka ndani ya chadema hivi sasa ambapo chama hicho kipo kwny uchaguzi wa ndani na chanzo cha yote haya ni mwenyekiti aliyepo madarakani hv sasa mh Freeman mbowe kuwashughulikia wasiomuunga mkono na wale wanaotaJwa kugombea nafasi hiyo.
Mbowe anatumia gharama kubwa ikiwamo pesa na madaraka kuwafinya wote wanaoonekana kumbua kichwa na kwa kuwawekea maboya katika maeneo Yao wasifurukute kkwenye chaguzi ngazi za chini hususan majimbo mikoa n.a. kanda ambapo ndio wanapatikana wapiga kura as mkutano mkuu wa taifa.
Hakika mbowe ni king muswati na huenda aakafia kwenye kidonda kama nzi
Mbowe hawezi kuachia uongozi, amekosa urais halafu aje kuachia uenyekiti ili awe nani sasa maana kule kijijini kwetu hawezi kupata hata uenyekiti wa mtaa.
Wakuu salaam.
Taarifa za ndani nilizozipata kutoka kwa mnyetoshaji wangu aliyepo CHADEMA makao makuu zinaeleza kwamba kuna mgo goro mkubwa umeibuka ndani ya chadema hivi sasa ambapo chama hicho kipo kwny uchaguzi wa ndani na chanzo cha yote haya ni mwenyekiti aliyepo madarakani hv sasa mh Freeman mbowe kuwashughulikia wasiomuunga mkono na wale wanaotaJwa kugombea nafasi hiyo.
Mbowe anatumia gharama kubwa ikiwamo pesa na madaraka kuwafinya wote wanaoonekana kumbua kichwa na kwa kuwawekea maboya katika maeneo Yao wasifurukute kkwenye chaguzi ngazi za chini hususan majimbo mikoa n.a. kanda ambapo ndio wanapatikana wapiga kura as mkutano mkuu wa taifa.
Hakika mbowe ni king muswati na huenda aakafia kwenye kidonda kama nzi
Wewe mbona data hujatoa.Kanusha kwa data mkuu. Acha kubwabwaja unatia aibu
Kumurika - kumulikaHulaumiki, hizi ndizo akili za ccm na ujinga wao . Eti mwenge umurike mchana jua linawaka tena wa kumurikwa ni maadui , 😛😛😛
Hivi adui gani alimulikwa na mwenge mchana akakamatwa ?? labda POPOBAWA😛😛😛
![]()
MtumeMbowe hawezi kuachia uongozi, amekosa urais halafu aje kuachia uenyekiti ili awe nani sasa maana kule kijijini kwetu hawezi kupata hata uenyekiti wa mtaa.