Uchaguzi wa Novemba Marekani: Biden aahidi kuruhusu utoaji wa mimba kwenye kampeni yake

Uchaguzi wa Novemba Marekani: Biden aahidi kuruhusu utoaji wa mimba kwenye kampeni yake

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Inaonekana Biden anajua wamarekani wanapenda uovu wa utoaji mimba hata akashawishika kuwa atavutia wapiga kura kwa kuwaahidi kuruhusu tena utoaji mimba, kitu ambacho mahakama ya juu ya marekani ilishakizuia na kurudisha maamuzi yawe yanafanywa na serikali ya majimbo. Majimbo mengi hasa yanayoongozwa na Republican wakatumia fursa hiyo kuzuia utoaji mimba!!

US President Joe Biden has called on Americans concerned with reproductive rights to vote for Democrats in midterm elections, promising to push a bill in Congress that would protect the right to abortion nationwide if his party wins next month.
 
Yeye mbona mimba yake haikutolewa? Taifa kubwa kama USA linapaswa kutumia teknolojia zake kuzui mimba zisizotarajiwa.
 
Yeye mbona mimba yake haikutolewa? Taifa kubwa kama USA linapaswa kutumia teknolojia zake kuzui mimba zisizotarajiwa.
Unajua siku za hatari kwenye sex kuna rahaa kinomaa ndo maana wanawake wanasahau kabisaaa kujizuia alafu madawa ya kuzuia mimba nayo yana matatizo mengi watu wanataka Rost huku kupika awataki.
 
Democratic wana kila aina ya maujinga ujinga mengi wala usishangae
 
US ni baba wa demokrasia duniani, uchaguzi wake unatazamwa na dunia yote.
 
US ni baba wa demokrasia duniani, uchaguzi wake unatazamwa na dunia yote.
Nikukumbushe,Bi crinton alipita kwenye sanduku la kura,,,,wenye nchi wakapanga yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Marekani haiwezi kuwahakikishia mfano wa kuigwa,hao wana malengo yao ya kuiharibu dunia,kwani hiyo sheria ikipita kuna nchi shirika nazo zitashawishika kuruhusu hiyo kwa namna yoyote ile
 
Back
Top Bottom