Nzelu za bwino
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 400
- 484
Iko wazi hio, Bashiru alishasema watatumia vyombo vya dola kubaki madarakani. Alishasema hawawezi kufanya uzembe kama wa vyama vyengine vya ukombozi kutolewa madarakani. Nyenzo wanazo watazitumia.Bashiru na pole pole wao nguvu zao ni kwa polisi wao ...bila polisccm hakuna ccm nchi hii
Hakuna namna nyingine ya kuweza kuishinda ccm bila ya kutumia nguvu ya umma ...kama kuna wapinzani wanao amini kwamba wanaweza kuishinda ccm bila ya kufanya kama kile walichokifanya wa-misri mwaka 2011 basi watakuwa wana jiongopea mchana kweupeIko wazi hio, Bashiru alishasema watatumia vyombo vya dola kubaki madarakani. Alishasema hawawezi kufanya uzembe kama wa vyama vyengine vya ukombozi kutolewa madarakani. Nyenzo wanazo watazitumia.
CCM kupitia jumuiya ya vijana ndio TISS wenyewe, ndio Polisi hao na ndio Jeshi hao. Kuna hao vijana wapya wasiojuwa maadili ya kazi zao na waliajiriwa kutokana na UCCM wao.
Nchi imeharibiwa hii. Kwa hio Bashiru kuagiza kuwasha mitambo ya ushindi alikusudia kuwaambia hawa wafanye kazi yao.
Wapinzani jipangeni. Dola ni CCM na CCM ni dola.