LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, chagua Chama cha Mapinduzi (CCM)

LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, chagua Chama cha Mapinduzi (CCM)

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CCM na futuhi n ndugu mojaa
IMG-20241121-WA0002.jpg
 
Uchaguzi mmeisha uvuluga, mmeengua viongozi wa upinzani , ila elewa mliowaengua katika maeneo mbali mbali mmetengeza chuki na hao watu wenu may be wataongoza watu wa ccm, na hii sasa tunaweza kuludi yale ya zanzimbar kwamba wa ccm wazikane na wa upinzani wazikane ,tuendako ni kubaya sana
 
Chagua ccm ktk uchaguzi wa serikali za mitaa ili:-
1. Uuziwe kiwanja feki na hao wenyeviti watokanao na ccm.
2. Utoe 10% ya mauziano ya shamba au kiwanja.
3. Ulipie kibali cha ujenzi (wakati kiwanja ni chako na hakuna kitu unapata kupitia hicho kibali).
4. Ulipie hela ya kuzoa taka wakati Kodi , tozo na VAT unalipa.
5. Ulipie sh elfu 2 kila ukitaka barua kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya Kijiji/mtaa watokanao na ccm.
 
Back
Top Bottom