Joseph Ludovick
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 364
- 468
Kwa miaka mingi tangu nianze kushiriki chaguzi ze serikali za mitaa, sijawahi kuona uchaguzi ambao CCM itashinda vijiji, mitaa, na vitongoji vyote kama mwaka huu.
Ukitaka kujua hili tazame mchuano wa kidemokrasia ndani ya CCM, uchukuaji na urudishaji fomu. Naam, nawapa pole wapinzani.
Kwani miaka yote hii hawakujua kuwa mwaka huu kuna uchaguzi?