Pre GE2025 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hauna kampeni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini?

Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi?

Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
 
Wiki mbili yakhe umetia nia ,unaweza anza kutupa bukubuku za viroba
 
Kampeni zipo ila zinapigwa kienyeji sana si unajua huu uchaguzi unahusisha viongozi wa vitongoji , vijiji na Mitaa ?
 
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini?

Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi ?

Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
CCM wamesha shinda kwa kishindo kampeni za nini
 
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini?

Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi?

Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
Unagombea ngazi ipi na chama ipi,kwani inawezekana wenzio wameshachaguana na kuenea tayari.
 
Back
Top Bottom