[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wiki mbili yakhe umetia nia ,unaweza anza kutupa bukubuku za viroba
CCM wamesha shinda kwa kishindo kampeni za niniKampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini?
Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi ?
Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?
Uchaguzi unakuwa ni ushahidi tu, swali fikirishi wasimamizi ni akina nani wanateuliwa na naniUchaguzi umemalizika??
Unagombea ngazi ipi na chama ipi,kwani inawezekana wenzio wameshachaguana na kuenea tayari.Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zinaanza lini?
Mbona hatuwaoni wagombea wa serikali za mitaa wakinadi sera zao na kufanya shamrashamra zozote za uchaguzi?
Mbona zile purukushani za wagombea kuwekeana mapingamizi na kuengua wagombea hazipo?