LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Kura yako ni muhimu, usiache kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Kura yako ni muhimu, jitokeze kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tarehe 27.11.2024, vituo vitafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
 
Tuwahi vituo vya kupigia kuraa kuwapa watu ulaji wa miakaa 5🤪
 
Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi,uchakachuaji na wizi wa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…