LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu ni mgumu kuliko ule wa 2019, tumejiandikisha Karibu Watu wote!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Vyama vya Siasa sasa vijikite kwenye kampeni makini Ili tupate viongozi Bora na Siyo Bora viongozi

Sisi Wananchi tumeshakamilisha Wajibu wetu wa kujiandikisha tunasubiri Mtuuzie Sera Ili Tufanye maamuzi sahihi

Mungu wa mbinguni aibariki Wednesday Yako 😄
 
CCM kama kawaida yao wameshafanya uchafuzi mkubwa!!

Hakuna uchaguzi humo - takataka tupu
 
Vyama vya Siasa sasa vijikite kwenye kampeni makini Ili tupate viongozi Bora na Siyo Bora viongozi

Sisi Wananchi tumeshakamilisha Wajibu wetu wa kujiandikisha tunasubiri Mtuuzie Sera Ili Tufanye maamuzi sahihi

Mungu wa mbinguni aibariki Wednesday Yako 😄
Yale yale, hakuna jipya!
 
Infact,
ni uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria tangu uhuru wa Taifa letu 🐒
 
Back
Top Bottom