johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Vyama vya Siasa sasa vijikite kwenye kampeni makini Ili tupate viongozi Bora na Siyo Bora viongozi
Sisi Wananchi tumeshakamilisha Wajibu wetu wa kujiandikisha tunasubiri Mtuuzie Sera Ili Tufanye maamuzi sahihi
Mungu wa mbinguni aibariki Wednesday Yako 😄