johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hainaga mbadala πCCM ni ileile.
Kama itakavyokua 20242019 hapakuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa
2024 utakuwepo Uchaguzi π2019 hapakuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa
Ulikua kwenye kazi za porini nini? Sijakuona muda hapa LucaUchaguzi wa mwaka huu ni mwepesi kama manyoya ya kuku na ushindi wa kishindo upo wazi kabisa kwa CCM chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania
Nimetingwa na shughuli za maandalizi ya msimu mpya ya kilimo ili watu wa mjini mpate chakula na msije mkafa kwa njaa.Ulikua kwenye kazi za porini nini? Sijakuona muda hapa Luca
Mkuu wa Wilaya yao ametangaza msako wa madalali wanaopeleka watoto Wadogo Migodini kuuza Nyota πΌUlikua kwenye kazi za porini nini? Sijakuona muda hapa Luca
Sio kazi za CCM za poriniNimetingwa na shughuli za maandalizi ya msimu mpya ya kilimo ili watu wa mjini mpate chakula na msije mkafa kwa njaa.
Lucas ni muoga sanaSio kazi za ccm za porini
Nadhan 2024 ndo itavunja rekodi zaid kwa takwimu hiz za kupikaβ¦.2019 hapakuwa na uchaguzi wa serikali za mitaa
Vp maelezo kuyoka juu yanasemaje2024 utakuwepo Uchaguzi π
... kwa mvua za mwaka huu jiandae kukatika mtaji Joe!Nimetingwa na shughuli za maandalizi ya msimu mpya ya kilimo ili watu wa mjini mpate chakula na msije mkafa kwa njaa.
Ujasiri wake ni kumtetea samia kwa nguvu zake zote....tofauti na hapo haumpatiLucas ni muoga sana
Ujasiri wake ni hapa Jf tu
Yale yale, hakuna jipya!Vyama vya Siasa sasa vijikite kwenye kampeni makini Ili tupate viongozi Bora na Siyo Bora viongozi
Sisi Wananchi tumeshakamilisha Wajibu wetu wa kujiandikisha tunasubiri Mtuuzie Sera Ili Tufanye maamuzi sahihi
Mungu wa mbinguni aibariki Wednesday Yako π
Infact,Vyama vya Siasa sasa vijikite kwenye kampeni makini Ili tupate viongozi Bora na Siyo Bora viongozi
Sisi Wananchi tumeshakamilisha Wajibu wetu wa kujiandikisha tunasubiri Mtuuzie Sera Ili Tufanye maamuzi sahihi
Mungu wa mbinguni aibariki Wednesday Yako π