Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Nichukue nafasi hii kuwakumbusha Watanzania wenzangu wote kuwa serikali za Mitaa ni muhimu na ndiyo sauti ya wananchi hivyo tujitokeze kujiandikisha katika daftari la mpiga kura.
Bila kujali itikadi zetu hili ni jambo muhimu sana Kwa taifa letu kwa ujumla.
Pia soma: Kuelekea 2025 - LGE2024 - Rais Samia kuzindua uandikishaji wa Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa Oktoba 11, 2024 - Dodoma