Salamu wana JF,
Ule mchakato wa kumpata spika mpya ndo umeanza asubuhi hii, kwa wana JF walioko on ground na wale wanafatilia kwenye TV tunaweza kuitumia thread hii ili kuhabarishana live news.
Nimejaribu kufuatilia mijadala mbali mbali ya Wananchi Maredioni na kwenye TV, Kama wananchi wangekuwa wanachagua Spika Basi Mabere Marando Angeshinda kwa Kishindo Kikubwa
Nimejaribu kufuatilia mijadala mbali mbali ya Wananchi Maredioni na kwenye TV, Kama wananchi wangekuwa wanachagua Spika Basi Mabere Marando Angeshinda kwa Kishindo Kikubwa
TBC1 livebado redio hazijaunga, ila nahisi Clouds na TBC taifa zitajiunga, nitawajuza kama kuna redio zitakazokuwa live
Hakuna mabadiliko yoyote yale spika ni ana makinda
na amesisitiza pia wana CCM wana tabia ya kubebena so anna atapita tu labda utokee muujiza!kuna mchangiaji mmoja TBC1 kamfananisha Anne Makinda na Headmistress kwa staili yake ile ya kuwafokea wabunge utadhani bunge ni shule ya sekondari