Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

Elections 2010 Uchaguzi wa Spika wa bunge la 10 la Tanzania

kanuni ya kuzuia watu ambao si wabunge kuingia mjengoni inatenguliwa ili Marando aingie kuomba kura
 
wagombea watapewa dk moja au mbili kujitambulisha
 
Kura za Marando-1 sababu yeye hataji9pigia kura, jibu ni kuwa wanaochagua ni wabunge
 
utaratbu ni ule ule, inagongwa kengele, wote wanaingia,wanahesabiwa vikaratasi vinasambazwa
 
Wagombea wataingia mmoja mmoja, anaanza Makinda
 
Ana anaingia na anashangiliwa...inaonekana issue ya uchaguzi hapo ni kama hakuna wameshakubaliana wana CCM huko (sio wananchi)
 
''juock ping'' namwaminia

tendaaa muujiza..... baba tendaaaa muujuzaaaaa

usituache mwaka huu upite bila marando kuwa spika... tendaaa muujiza
 
Anne anashukuru wapiga kura wake na wananchi kwa kumchagua na chama chake kwa kumpendekeza
 
hee..kumbe Mbunge tangu mwaka 1975 akiwakilisha vijana!....
 
anasemaje kuwa sasa hivi "tunaingia kwemye mfumo wa vyama vingi" wakati mfumo umeanza mwaka 1992?
 
anataja wasifu wake, yupo bungeni tangu 75, amekuwa waziri,mkuu wa mikoa, na amekuwa naibu.
Anasema anaweza hiyo nafasi.
Anamshukuru Sitta. Na anaahidi kufata kanuni na kufanya bunge imara, sheria zitakazotungwa zitafatiliwa. Anaomba kura zote,
Vigeregere,
Anaomba kura za chadema pia
 
na kweli walirekebisha mafao ya wabunge wakasahau wananchi waliwatuma!!!:doh::doh::doh:
 
anasema sasa hivi tunaingia kwenye mfumo wa vyama vingi. NCCR walianza nao zamani ni wenzao
 
ha!ha!ha! alianza na NCCR tangu zamani
 
Swali kutoka kwa mh. khalifa anamwuliza kama atakuwa impartial au ataegemea CCM?

(naona kama swali rahisi sana hili)


Anajibu kuwa impartiality in obligation....
 
Swali toka kwa Halifa... atabalance au atapendelea?
anajibu spika ni lazima afate kanuni na awe im-partilly
 
swali gumu sasa...Anna abdala kaanza fitna sasa....kamkalisha chini Tundu Lisu....dah...kisa kamtaja Sitta
 
Back
Top Bottom