Uchaguzi wa TAHLISO unafanyika Mwenge

Uchaguzi wa TAHLISO unafanyika Mwenge

mwakasyuka

Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
17
Reaction score
14
jaman uchaguzi wa tahliso unafanyka mwenge na mpaka sasa raisi hajatangazwa sasa huyo mnampongeza kachaguliwa wapi na kachaguliwa na akina nan? please kama una taarifa tujuze.
 
wewe upo wapi ? mbona rais kashapatikana. waulize watu wa UDOM-COED watakwambia rais q
rais wa TAHLSO ni nani
 
mnachaguana wakati wenzenu hawana boom!!! shame on you... siku hizi kila mtu anaangalia upande wake
 
Yap ni true uchaguzi unafanyika hapa chuoni kwetu Mwenge Catholic University (mwaka huu imekuwa chuo kamili kutoka kama tawi la saut, moshi branch), na ndipo mwenyekiti Mh Mussa Mdede alipo, nadhani taarifa zitatolewa soon
 
uchaguzi uliofanyika morogoro nani aliuitusha na katiba ya tahliso unasemaje kuhusu uchaguzi??
 
Back
Top Bottom