Pre GE2025 Uchaguzi wa Tanzania 2025 ni vita vya kijasusi ya mashirika makubwa ya Ulaya, Amerika dhidi ya Russia na Mataifa ya kiarabu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
so deep!

wachache watakwelewa

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Bandiko lako linakosa mantiki bila kuweka hizo interest za US na Europe ni zipi na kwenye nini.

Na interest za Waarabu na Russia ni zipi na kwenye nini.

Na kila upande unataka mtu wao awasaidie nini.
 
Huyu nasikia kashughulikiwa na mtangilizi wake.

lupaso boy na kifimbo ni yeye pia kawafyekelea mbali.
Sasa huyo mtangulizi wake SI ndio mwalimu wa huyu!!?na huyo jamaa inasemekana ninCIA agent Sasa so atakua mbioni kumshughulikia chura kiziwi!!?auii!?
 
Mambo yasipo haribika sana.in voice of born in town.
All the best
 
Sasa huyo mtangulizi wake SI ndio mwalimu wa huyu!!?na huyo jamaa inasemekana ninCIA agent Sasa so atakua mbioni kumshughulikia chura kiziwi!!?auii!?
Sijui kama ni CIA agent, ninasikia ni bonge mafia. Ila Mungu kama kweli yupo, huyu jamaa hatafika mbinguni.
 
Inawezekana hata huo uspika walimpa kimtego bila yeye kujua aina ya nyavu
Hao watu wako mbali sana kiakili
 
Inawezekana hata huo uspika walimpa kimtego bila yeye kujua aina ya nyavu
Hao watu wako mbali sana kiakili
Na yeye bila kujua akaingia king na sasa wataanza operation zao zile!
 
Sijui kama ni CIA agent, ninasikia ni bonge mafia. Ila Mungu kama kweli yupo, huyu jamaa hatafika mbinguni.
Kumbuka Obama na Bushi walikuja hapo kigamboni na wakaingia mkataba wa military base!!lakini Kato akawagomea na Sasa kinajengwa kenya!
 
Kwani zaidi ya hiyo elimu yake ya Sheria anao uweledi wa mawasiliano na waandishi wa habari na hadhira nyingine zaidi ya eneo la Sheria na diplomasia ya kuishi na wasiokupenda au wasio na msimamo Sawa na wako
 
Hivi vyuo cha Chama kivukoni na Diplomasia Kurasini viliundwa Kwa madhumuni maalumu, sasa hivi kila kitu Chuo cha Elimu ya juu
 
Hivi vyuo cha Chama kivukoni na Diplomasia Kurasini viliundwa Kwa madhumuni maalumu, sasa hivi kila kitu Chuo cha Elimu ya juu
Havina support tena!coz siku hizi teuzi zinajali uchawa na sio usomi,ukiwa msomi sana na critical thinker unakua adui wa mwenyekiti!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…