Pre GE2025 Uchaguzi wa Tanzania 2025 ni vita vya kijasusi ya mashirika makubwa ya Ulaya, Amerika dhidi ya Russia na Mataifa ya kiarabu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani yale 'makaratee' ya Kiz festivol haysatofua dafu?
 
Wewe ni miongoni mwa wale wanaotengeneza mazingira ya kumchafua Rais Samia kwa makusudi kupitia hofu za kufikirika kuhusu uchaguzi wa 2025.

Unapojaribu kumkejeli Dkt. Tulia na kuhusisha serikali na mataifa kama Russia na Kiarabu, unalenga kuonyesha kuwa uongozi wa awamu ya sita hauna mwelekeo sahihi, huku ukipandikiza dhana ya mgawanyiko wa kimataifa.

Propaganda zako si chochote zaidi ya njama za kuondoa imani kwa wananchi na kuharibu sifa ya Rais Samia mbele ya jamii.

Badala ya kuzungumzia hoja za msingi zinazogusa maendeleo ya taifa, unataka kueneza hofu na migawanyiko isiyo na tija.

Lakini ujue Watanzania wanaona juhudi za serikali, na njama kama hizi haziwezi kufanikisha lengo lako la kuwapotosha.
 
Kama ni hivyo!

Hizi kauli tata za mwenyekiti akisema"mnataka kuanzisha Fujo ,serikali.haipinduliwi hivyo,Tutailinda katiba" anamwambia nani!!?

Tena anayasema kwenye majukwaa kabisa bila soni!

Kwani kama anafanya vizuri na sisi ni wamoja hizo kauli anazitoa wapi!!?

Hebu tumia ubongo wako kufikiria!

UNAKUMBUKA kipindi Cha Kato wa chato!!?

Wakati wa kampeni alisema hivi"Mwinyi mlimpa miaka Kumi,mkapa mkampa miaka Kumi,kikwete miaka kumi,kwanini Mimi mnataka mnipe muhula mmoja!!?

Alipolazimisha hakudumu!

Lazima chawa waanze kutumia Bongo zao saw sawa!!
 
Ni wazi kwamba unatumia njia zisizo za haki katika kujenga hoja zako dhidi ya mwenyekiti.

Kila mtu anajua wazi kwamba wewe ni mtoto wa kigogo, mwenye ndoto za kuwania urais.

Badala ya kutumia siasa za kuchafuana ili kujinufaisha, ni bora uelekeze nguvu zako katika kujenga mazungumzo ya maendeleo na umoja.

Ni muhimu kufahamu kwamba siasa za chafu hazileti maendeleo wala amani. Badala ya kujaribu kumchafua mwenyekiti, ni bora kuzingatia masuala ya msingi yanayohitaji ufumbuzi.

Wananchi wanahitaji viongozi wenye maono, sio wale wanaojaribu kujitafutia umaarufu kupitia mfarakano.

Kila kiongozi anapaswa kujifunza kutokana na historia na kutafuta njia za kushirikiana na jamii kwa ufanisi. Tunahitaji kujenga mazingira ya kuheshimiana na kufanya kazi pamoja, sio kueneza chuki na uhasam
a.
 
Kila mtu anajua wazi kwamba wewe ni mtoto wa kigogo, mwenye ndoto za kuwania urais
Aiseh!hapa umepuyanga!

Ungejua usingeandika hicho ulichokiandika!

Mimi sio aina ya makada wanaoendekeza uchawa kwenye uongozi!

Mimi ni roho ya kina warioba,butiku,Sokoine na kizazi kile Cha vijana wa ccm wenye kuyatizama maswala mtambuka katika uwanja was kimedani na kesho ya taifa hili!!

Kugawa pikipiki na baiskeli kabka uchaguzi ni short cut isiyo na mwisho mwema katika mstakabali wa taifa lijalo!!

Wapinzani wamekua kioo chetu !badala ya kushirikiana nao tumekua Rungu kwao na panga kuwatoa damu,na kwa kufanya hivyo wamepata watetezi wasiotakiwa kimataifa na kuharibu nembo ya taifa letu tulilolijenga kwa miaka mingi sana!

Itoshe kusema nilichoandika ndicho kinaenda kutokeae ndani ya chama na nchi yetu coz mbegu tulioipanda inakua na kuleta dosari kwetu wenyewe!!

Mwakani ni vita vya kijasusi kati ya pande mbili kuu,nazo ni hizo tulizoegemea na hizo zinazotushutumu!!

Tuache ramli turudi kwenye misingi !
 
Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe na mwenye kupata amepata na mwenye kukosa amekosa!

Hivi karibuni kelele za Teka teka,poteza poteza zilivyozidi sana Ubalozi wa marekani ukatoa tamko zito, inaonyesha dhahiri shahiri uhusiano wetu na america plus Europe sio mzuri!

Tunapoenda kwenye uchaguzi CCM Chama changu kinatakiwa kisihangaike kuvidhibiti vyama vya upinzani Bali kudhibiti mashirika ya kijasusi ya US, Europe na Israel yasiingiilie uchaguzi wetu na ku influence ushindi utoke chama gani na kwa nani!

Hapa ndipo kazi kubwa waliyonayo majasusi wa ndani kama watakua radhi kusaliti juhudi za miaka mingi za mashirika hayo ya US, Europe na Israel na ku-favor matakwa ya mwenyekiti mwenye uhusiano mzuri na mashirika ya Russia na Uarabuni plus washirika wake!!

Atakae shinda uchaguzi ujao atafananishwa Mwl Nyerere alieshinda bid ya kusimamia transition ya Tanganyika akisaidiwa na WA missionaries was kanisa katoliki dhidi ya wapinzani wake walioungwa mkono na mashirika mengine ya kijasusi duniani!

Kwa wasiojua ninkwamba Fabian society ilimtaka Thomas Mariale wa uchagani,Vatican ikamtaka Burito kambarage nyerere na CIA ilimtaka chief kidaha was shinyanga, Vatican ya majesuit ilishinda na wengine wakamiunga mkono si Russia Wala Arabs waliiingiza mtu.wao kwenye Ile bid!

Mwakani tunaanza upya kama 1961 alivyoanza Nyerere kuekea kwenye muelekeo mpya na mstakabali wa Taifa hili Tanzania!

Chawa wote wasiishie kutamka mitano Tena Kwa mama Bali wafikiri tutashindaje vita vya kijasusi dhidi ya Wazoefu kwenye medani Mossadi, CIA na M16.

Mwambieni mama asome hii,kama ana ubongo usiochanganywa na sifa za chawa asome Kwa makini alone namna ya kuchanga karata zake!

Majibu ya Dkt. Tulia yameshatoa muelekeo wa mashirika ya ulaya,Us na israel yaegemee upande upi hapo mwakani!!

Kuzima internet nchi nzima hapo 2025 haitisaidia kama Elon musk akielekezwa afanye jambo eneo la maziwa makuu kuhusu internet!!!

Nawaza na kuwazua, nikiwa na KADI ya kielectronic ya CCM na nimejiandikisha tayari!

Ni dhahiri USA inaegemea wapi. Namuona jasusi wao namba moja Tanzania ameweka wazi misimamo yake na kwamba hatishwi na Serikali ya Tanzania iliyomkemea na kumtisha. Amemtembea Sugu mara kibao kumjulia hali.
 
CCM mijitu ya hovyo mnajipa umuhimu msiokuwa nao, zaidi ya wizi wa kura na ufisadi hakuna cha maana mnachojua
 
Hakuna issue uchaguzi wa hapa bongo ni vita ya ccm na chadema period
 
Ni dhahiri USA inaegemea wapi. Namuona jasusi wao namba moja Tanzania ameweka wazi misimamo yake na kwamba hatishwi na Serikali ya Tanzania iliyomkemea na kumtisha. Amemtembea Sugu mara kibao kumjulia hali.
Hao hawawezi pewa Bali watatumika Ili apewe mwingine!
Mi nasubiri kuona na chura kiziwi kishaanza kukohoa kohoa Hadi clip za hotuba zinaondolewa mitandaoni!sijui wanaficha kitu gani !
 
USA ni empire, yeye anaangalia maslahi yake tu. SSH akikubali matakwa yao anaweza kuendelea au mtu mwingine yoyote wa CCM watakaomchagua. Hawajali CDM or CCM wanajali nani anafuata amri zao., Catalina maslahi yao.
 
Back
Top Bottom