Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Nnachojua viongozi wote wajuu wa mpira wa Simba Yanga na TFF kila mmoja na makosa yake ila wananyea debe sasa hv awe makini na hatua zake katika hii miaka yake minne mana mpira una zengwe balaa.................
 
Hawezi kusoma Diploma ya miaka miwili, hana cheti cha Form Six. Kwa kuwa ana cheti cha Form Four tu, lazima aanze na certificate, au asome Diploma ya Engineering ya miaka mitatu inayotolewa na vyuo vitatu tu nchini
Form four safi unasoma diploma, tena hata advance. Ila lazima uwe na experience ya kazi isiopungua miaka 2. Vyuo vingine huweka mtihani unaoitwa mature age entry test.
 
Alienda cbe akasoma certificate, diploma zen degree. Kumbuka certificate vigezo ni form4, na dip kigezo ni certificate, degree kigezo ni diploma
Division two, au ukipasi mature entry test with working experience unaunga Dip moja kwa moja. Hata Charles Mkwasa amesoma Dipl. kupitia cheti cha form four
 
Hv kwa kuendekeza maneno haya kuna mpira kweli? ??
Yataenda wapi?

Muda wote ilikuwa Malinzi anaipendelea Yanga. Makamu wake alikuwa huyu huyu Karia Simba damu.

Sasa Rais na Makamu wake wote ni Simba. What do you expect?

Tunasubiri uundaji wa Kamati za TFF. Bila shaka Karia na Wambura watajaza wenzao
 
Tusubiri msuguano wa Rais na Makamu wake. Maana Wambura atataka kuwa juu ya Rais wake

Eeh bwana wewe umeongea maono yangu kwani nilikuwa nawazia hilo hilo...Nawafahamu vizuri sana wote wawili. Wallace ni mwenye hekima na busara lakini Michael ni jamaa wa kupenda kuwa juu saa zote na kutaka iwe yeye tu kusababisha migogoro saa zote.
 
Back
Top Bottom