KAMUZUBERA
Senior Member
- May 9, 2017
- 194
- 154
Kwanini asiweze kusoma... ukipata zero form six unatumia cheti cha form four kusoma diploma kwa miaka mitatu...na hizo programm zinatolewa DIT,NIT ,ATC, MUST n.kWewe ndo aina ya watu halisi wa mpira ninaowajua.Mtu apate ziro fomu 6 alafu asome Diploma??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa Yanga? Mlizoea mbeleko chezeni soka.Huu uongozi sidhani kama utapata support ya mashabiki
Form four safi unasoma diploma, tena hata advance. Ila lazima uwe na experience ya kazi isiopungua miaka 2. Vyuo vingine huweka mtihani unaoitwa mature age entry test.Hawezi kusoma Diploma ya miaka miwili, hana cheti cha Form Six. Kwa kuwa ana cheti cha Form Four tu, lazima aanze na certificate, au asome Diploma ya Engineering ya miaka mitatu inayotolewa na vyuo vitatu tu nchini
Division two, au ukipasi mature entry test with working experience unaunga Dip moja kwa moja. Hata Charles Mkwasa amesoma Dipl. kupitia cheti cha form fourAlienda cbe akasoma certificate, diploma zen degree. Kumbuka certificate vigezo ni form4, na dip kigezo ni certificate, degree kigezo ni diploma
Ndo kijiweni kwake !Wambura ana roho ngumu sana! Pamoja na kukatwa kote huko bado yumo, nafikiri ana mission flan na soka la bongo
Usiongelee vitu usivyo vijuwa, kwani wewe ndo unaandika mitaala ya vyuo !? Hata Charles Mkwasa kasoma chuo diploma kwa cheti cha form four ! @yodoki llWewe ndo aina ya watu halisi wa mpira ninaowajua.Mtu apate ziro fomu 6 alafu asome Diploma??
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiongelee vitu usivyo vijuwa, kwani wewe ndo unaandika mitaala ya vyuo !? Hata Charles Mkwasa kasoma chuo diploma kwa cheti cha form four ! @yodoki llWewe ndo aina ya watu halisi wa mpira ninaowajua.Mtu apate ziro fomu 6 alafu asome Diploma??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kufata ushauri huo.....league ndiyo inaingiza pesa....taifa stars hakuna noti......
By the way-wakati umebadilika, wakileta ya Malinzi yatawakuta ya Malinzi.....watatumbuliwa kimya kimya from within....
Sent using Jamii Forums mobile app
......kuwa ......!
......kuwa ni......!
Rais wa Fifa kacheza mpira?Katibu mkuu wa Fifa kacheza mpira?Rais wa Caf je kacheza?hoja mufilisi hii.Sasa kama sheria za mpira hajui.ataongoza vipi mpira?hapo tunachezeana akili tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio !Chet cha 4m4 unaweza jiunga na chuo pia
Ndio ujue Karia hali mayai.Ila MAYAY kaachwa kwa kura nyingi sana....
Kaliaaa 95, MAYAY 9 ...
Duuuuuuuu......
Sent using Jamii Forums mobile app
Yataenda wapi?Hv kwa kuendekeza maneno haya kuna mpira kweli? ??
Tusubiri msuguano wa Rais na Makamu wake. Maana Wambura atataka kuwa juu ya Rais wake