Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Shaffii alijitoa, wewe Uko nyuma ya mambo
 
Mtu alikuwa M/Rais chini ya Malinzi
Unadhani kitabadilika nini hapo
sioni kama ni sababu hiyo mkuu. Karia namfahamu personally jamaa ni mtu aliyenyooka sana. labda kama atabadilika na sitegemei hilo
 
sana. Karia ndo kairudisha coast ligi kuu.kaenda manyara kaipandisha timu daraja la kwanza na hapo alikuwa hana nafasi yeyote ya juu TFF . jamaa anaupenda mpira toka kwenye damu
Yeye kacheza mpira?
Sio mtu kacheza basket anakwenda kuwa kiongozi wa mpira wa miguu hata sheria za mpira hazijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu alivyokuwa kiongozi simba si "alingangania" madaraka licha ya kipindi chake kwisha?
Labda kwa sababu sasa tupo awamu ya tano hatotuletea ujinga wake wa "kungangania madaraka" naona yupo "kiaveva aveva"
Ajira ngumu ndo maana anakomaa
 
Hata Malinzi mlikuwa mnasema hvyo hvyo na hakuna cha maana alichofanya. Huyo Karia amekuwa makamu wa Rais kipind chote cha Malinzi na Malinzi ndo alikuwa ally wake, kama Malinzi ndo kafanya yale aliyofanya mnadhani Karia atafanya nini kipya kama sio muendelezo wa mtangulizi wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…