Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Uchaguzi wa TFF: Wallace Karia achaguliwa kuwa rais mpya wa TFF

Huyu Michael wambura hadi amekuwa makamu wa rais after long fight mana alikuwa na damu sijui ya kuonewa au kukataliwa, upele umepata wakunaji naona, milele na milele tutabaki kuwa wasindikizaji kwenye soka

Sent using Jamii Forums mobile app
Wambura kapambana kweli kweli mwishowe kuingia TFF. Tusubiri sasa tuone Kama kweli alikuwa ana nia ya kuongoza mpira na kuleta mafanikio ama kujinufaisha. Time will tell.
 
Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
Huko unakoenda sasa unataka damu imwagike. Zero tena?
 
Wallace anaonekana mtu makini tatizo langu wingi wa kura kama influence kimtindo sema jamaa anaonekana ni mtu makini . Tatizo ni kwa wambura jamaa mjuaji sana naona kama mzinguaji

Wambura ni bomba zaidi. Ndio maana Aveva alitumia nguvu za ziada kuhakikisha anaondolewa kwenye kugombea uongozi wa Simba. Matokeo yake jitihada za Aveva kurudisha pesa alizotumia kumuembua Wambura zinampeleka huko aliko sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kura zingepigwa kwa kutotumia hawa wajumbe wachumia tumbo Ali Mayai angeshinda maana wanamichezo wa zamani waliungana kumpigia debe Ali lakini wapiga Kura wameacha keki ya taifa wametanguliza tumbo.
Mkuu unawafahamu watu wanaoitwa WATU WA MPIRA? Hao watu wa mpira wana ka syndicate kao hawataki watu wapya waingie kuchungulia kule kuna nini.
 
Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
Soma tena ulichokiandika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa namsapoti mayai ila huyu aliyechaguliwa sio mbaya, mayai anahitaji uzoefu kwamza!!
 
Mwakalebela kura 3, Ally Mayay kura 9. Then Kuria kura 95. Hivi huu ulikuwa uchaguzi wa Rais wa TFF (FOOTBALL federation) au Mbunge?😀
 
Maigizo bongo yataisha lini?..kwa cv za karia kwel anastaili...pongez kwake..ally mayai na mwakalibela wabak kuwa washaur tu wa soka....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
Ina maana mtu kupata zero form six ndio hawezi kuendelea na elimu hadi kupata degree??!!! Kama. Hujui kitu bora uulize tu sio kukariri, kwani kama alitumia cheti cha form 4,akasoma certificate, then diploma hawezi kuanza masomo ya digrii?!! Kwenye wapiga kura wa kumchagua rais wa tff ilikuwa ni ngumu kumchagua MAYAI, kwa taarifa yako hii imepigwa kura ya hasira kwa kuwa malinzi amefanyiwa zengwe na sisi ndio tulikuwa tuna mtaka basi ni bora tuwapigie kura hawa tunao wajua kwani siku ZOTE ZIMWI LIKU JUALO HALIKULI LIKAKWISHA. Kwani hao waengine walionekana wanajifanya kuwa ndio wanajifanya kuwa wametumwa mpira wetu!!! Ila hongera kwa wambura kwani c mchezo. Amehangaika sana.
 
Ningeshangaa sana kama wajumbe wangemchagua Ally Mayay. Kwanza kugombeagombea huku kunaweza kufukua siri zako, maana nakumbuka alipokuwa anacheza Yanga alifanya mtihani wa kidato cha sita akapata division zero. Watu wanaweza kuanza kufuatilia aliingiaje katika graduate and postgraduate studies
duh huyu nae great thinker, kwaio ukipata zero form six degree ndo bas tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom