Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
mawakili waliopiga kura ni 2218 yaani hawa wenye mihuri, ukichukua wenye vyeti waliodisco na mabush loyer wako kama elfu 10, kwahili soko lililovamiwa na akina makonda lazima maisha yagome, sasa hivi slaa makonda msigwa nchimbi makalla wanazo mahakama zao wanasikiliza kesi na wanatoa hukumu tena zao ni papo kwa papo unasikilizwa unahukumiwa unatiwa ndani, hawa akina mwambukusi lazima wageuke kuwa Gen Z tu, zile kesi uchwara za MIGA hazipo tena, wawekezaji wanapata huduma bora vile vikesikesi navyo vinaishilia,

mie nashairi waziri bashe apime mashamba awagawie, walime hata bamia mbona zinalipa tu
 
Hivi mtatiro Huwa ana akili sawa..
Yaani yeye Kaona ajitungie Ushindi wake kujiridhisha 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3060015
FB_IMG_1722754346415.jpg
 
Back
Top Bottom