Uchaguzi wa TLS: Harold Sungusia huyakimbia mapambano nyakati ngumu

Haki sawa

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
4,781
Reaction score
3,210
Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo!

Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi zinapojitokeza na badala yake inamuweka kwenye kundi la watu ambao huzikimbia changamoto hizo bila kuzikabili na kuzitafitia majawabu au suluhisho.

Sungusia alipokuwa Mwanasheria na Mwendesha mashitaka wa Jiji la Dar Es salaam wakati wa Charles Keenja, alipokutana na changamoto zilizohusisha ujenzi wa Hotel moja Magomeni, yeye badala ya kusimamia sheria aliamua kukimbia Kwa kuacha kazi na kwenda kutafuta kazi LHRC!

Aidha, taarifa zinaonyesha kwamba Sungusia aliikimbia LHRC mwaka 2016 wakati ikiwa kwenye ukata mkubwa wa kifedha baada ya Magufuli kufunga Akaunti za Kituo hicho na kuzuia fedha za wafadhili Hali iliyopelekea watumishi kulipwa mishahara Yao Kwa 40% badala ya 100% kwa mujibu wa madaraja yao.

Pamoja na kwamba Sungusia alikua Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho (Advocacy and Reforms) alikimbia na kuliacha Shirika likiwa hoi na kutafuta fursa Serikalini ambako yupo mpaka sasa!

Huu ni uthibitisho kuwa nyakati Ngumu zinapokuwa zinahitaji uongozi, Sungusia amekuwa anayakimbia matatizo badala ya kuyakabili ,na huyu akipewa Urais wa TLS zitakapotokea nyakati Ngumu ataiacha kama ambavyo amekuwa akifanya mara zote na ndio maana HAFAI kuwa Rais wa TLS .

Aidha, Wakati Sungusia na Mtobesya wakiwa wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS (Governing Council) wadau na wafadhili walikimbia kufadhili shughuli za TLS, alipoingia Professor Hoseah TLS imepata fedha za kujiendesha bila kutegemea michango ya wanachama pekee kama chanzo cha mapato na amepata nafasi ya kuwapata wafadhili wapya achia mbali bajeti ambayo imepangwa na Wizara ya Katiba kwa ajili shughuli mbalimbali za TLS.

Sungusia ndiye aliyelipwa fedha kuandaa mpango mkakati wa TLS ambao ulipendekeza kuwapunguzia wanachama mamlaka ya kushiriki mkutano mkuu na kuanzisha Chapters na Zones ambazo hata hivyo hawakua na mpango wowote wa kibajeti kuendesha mfumo mpya.
Huu ni uthibitisho Mwingine kuwa hajawahi kuwa na mpango wala Mkakati wa kutafuta vyanzo vya mapato vya taasisi ndio maana walishindwa kuonyesha kwenye mpango Mkakati walioutengeneza.

Aidha, mpaka sasa aliyepewa kandarasi ya kuandaa Ilani ya uchaguzi ya Sungusia hajaweza kukamilisha kazi hiyo, labda anasubiri mpaka kesho tarehe 27/04/2022 atakapowasikiliza wagombea kwenye mdahalo ambao atakuwa Moderator wake ndipo akakamilishe Ilani!
Nitaendelea baadaye kuhusu wagombea wengine kuhusu madhaifu Yao na nitakuja kueleza Pia nguvu zao huko siku za usoni!
 
Linapofika swala.la.vyeo

Hata kama.ulikunya njian enz.za.utoto wako watu watatumia hyo fursa kukuchafua

Nje ya mada hv mshahara na maruprupu ya Rais wa TLS yanafika 100M kwa mwaka had mtoane roho hvyo?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
LHRC hakuna madaraja ya mishahara wewe.
Wewe ni mserikali kwendraaa
 
Linapofika swala.la.vyeo

Hata kama.ulikunya njian enz.za.utoto wako watu watatumia hyo fursa kukuchafua

Nje ya mada hv mshahara na maruprupu ya Rais wa TLS yanafika 100M kwa mwaka had mtoane roho hvyo?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani Hoseah alifuata mshahara? Kwenye Uongozi inayotafutwa ni POWER na INFLUENCE sio PESA!!
 
Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo!

Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi zinapojitokeza na badala yake inamuweka kwenye kundi la watu ambao huzikimbia changamoto hizo bila kuzikabili na kuzitafitia majawabu au suluhisho.

Sungusia alipokuwa Mwanasheria na Mwendesha mashitaka wa Jiji la Dar Es salaam wakati wa Charles Keenja, alipokutana na changamoto zilizohusisha ujenzi wa Hotel moja Magomeni, yeye badala ya kusimamia sheria aliamua kukimbia Kwa kuacha kazi na kwenda kutafuta kazi LHRC!

Aidha, taarifa zinaonyesha kwamba Sungusia aliikimbia LHRC mwaka 2016 wakati ikiwa kwenye ukata mkubwa wa kifedha baada ya Magufuli kufunga Akaunti za Kituo hicho na kuzuia fedha za wafadhili Hali iliyopelekea watumishi kulipwa mishahara Yao Kwa 40% badala ya 100% kwa mujibu wa madaraja yao.

Pamoja na kwamba Sungusia alikua Mkurugenzi wa Utetezi na Maboresho (Advocacy and Reforms) alikimbia na kuliacha Shirika likiwa hoi na kutafuta fursa Serikalini ambako yupo mpaka sasa!

Huu ni uthibitisho kuwa nyakati Ngumu zinapokuwa zinahitaji uongozi, Sungusia amekuwa anayakimbia matatizo badala ya kuyakabili ,na huyu akipewa Urais wa TLS zitakapotokea nyakati Ngumu ataiacha kama ambavyo amekuwa akifanya mara zote na ndio maana HAFAI kuwa Rais wa TLS .

Aidha, Wakati Sungusia na Mtobesya wakiwa wajumbe wa Baraza la Uongozi la TLS (Governing Council) wadau na wafadhili walikimbia kufadhili shughuli za TLS, alipoingia Professor Hoseah TLS imepata fedha za kujiendesha bila kutegemea michango ya wanachama pekee kama chanzo cha mapato na amepata nafasi ya kuwapata wafadhili wapya achia mbali bajeti ambayo imepangwa na Wizara ya Katiba kwa ajili shughuli mbalimbali za TLS.

Sungusia ndiye aliyelipwa fedha kuandaa mpango mkakati wa TLS ambao ulipendekeza kuwapunguzia wanachama mamlaka ya kushiriki mkutano mkuu na kuanzisha Chapters na Zones ambazo hata hivyo hawakua na mpango wowote wa kibajeti kuendesha mfumo mpya.
Huu ni uthibitisho Mwingine kuwa hajawahi kuwa na mpango wala Mkakati wa kutafuta vyanzo vya mapato vya taasisi ndio maana walishindwa kuonyesha kwenye mpango Mkakati walioutengeneza.

Aidha, mpaka sasa aliyepewa kandarasi ya kuandaa Ilani ya uchaguzi ya Sungusia hajaweza kukamilisha kazi hiyo, labda anasubiri mpaka kesho tarehe 27/04/2022 atakapowasikiliza wagombea kwenye mdahalo ambao atakuwa Moderator wake ndipo akakamilishe Ilani!
Nitaendelea baadaye kuhusu wagombea wengine kuhusu madhaifu Yao na nitakuja kueleza Pia nguvu zao huko siku za usoni!
Sungusia hana mpinzani
 
Back
Top Bottom