relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,336
- 5,217
Ndo shida ukishakuwa ufipa nguvu kubwa ya kufikiri inatumika na makalio.Jifunze kwanza matumizi ya "ra" na "la" ndipo uanzishe thread zako za kubashiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo shida ukishakuwa ufipa nguvu kubwa ya kufikiri inatumika na makalio.Jifunze kwanza matumizi ya "ra" na "la" ndipo uanzishe thread zako za kubashiri.
Hamna issue ni wewe unalazimisha kuwe na issue......katiba inasema ndo uwe rais lazma upate nusu ya KURA ZILIZOPIGWA na uwe na zaidi ya asilimia 25 kwa zaidi ya kaunti 24....Uhuru amepata 98% ya kura zilizopigwa na amepata more than 25% in 44 countiesIngekuwa hivyo Mkuu, Kenya sasa hivi wasingekuwa wanajadili kutunga sheria ya kulazimisha watu kupiga kura (mandatory voting law). Wameona kuwa na preseident aliyechaguliwa kwa turn out ya 33% ni issue!
MisinformationNadhani Uhuru Kenyatta na Wafuasi wake wa Jubilee wanajifariji tu na ushindi huu mkubwa wanaoupata katika uchaguzi huu wa kurudiwa. Nimetafakari sana, na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa uchaguzi huu kurudiwa tena (re-run of the re-run election).
Ninahisi hapa, ni kwamba Uhuru Kenyatta alishinikiza huu uchaguzi wa marudio ufanyike ili kukwepa kipengele kinachomtaka aachie uraisi na kukabidhi uraisi kwa spika ikiwa uchaguzi wa marudio hautafanyika katika siku 60 toka ubatilishwe. Uchaguzi huu wa marudio ukibatilishwa, Uhuru ataendelea kuwa raisi chini ya sheria hiyohiyo ya siku 60 kwa kuwa uchaguzi wa marudio utakuwa umempa tena mamlaka uraisi na kuhitimisha zile siku 60 za ubatilishwaji wa uchaguzi wa kwanza. Ni kama Uhuru amepania kwamba uchaguzi wowote wa uraisi lazima ufanyike yeye akiwa raisi, sio akiwa amekabidhi uraisi kwa spika.
Sababu za kubwa za kufanya uchaguzi wa marudio urudiwe tena, ikiwa utapingwa mahakamani, ni kama zifuatazo;
- Kuna baadhi ya vipengele vilivyoamriwa virekebishwe na Mahakama Kuu iliyobatilisha havikurekebishwa
- Tayari kulikuwa na shauri la kuomba kuahirishwa kwa uchaguzi ambayo haikusikilizwa kutokana na kutotimia quorum ya majaji - lakini kwa kanuni ya sheria kutosikilizwa kwa shauri hilo ni justice denied, kitu ambacho hakikubaliki kisheria
- Siku chache kabla ya uchaguzi kuna kesi dhidi ya maofisa wa uchaguzi (returning officers) ambapo mahakama ilitoa hukumu kwamba kuteuliwa kwao kulikuwa batili, na bado hawa maofisa walitumika katika uchaguzi wa marudio kwa kuwa hakukuwa na muda wa kuwateua kivingine ili wawe halali
- Uchaguzi umefanyika katika mazingira hatarishi na inawezekana kabisa zaidi ya 50% ya watu waliojiandikisha wameshindwa kupiga kura (takwimu zimeonyesha waliopiga kura ni 33% tu ya waliojiandikisha)
- Tume ya uchaguzi ilishatoa tamko kwamba haiwezi kutoa hakikisho kwamba ingesiamamia uchaguzi wa marudio ili uwe wa uhuru na haki
- Kuna sehemu za Kenya ambako watu walishindwa kabisa kupiga kura kutokana na sababu mbalimbali na hivyo kuwanyima haki yao ya kupiga kura
Rais atabanduka mamlakani pale tu atakapo apishwa rais mwingine au kutokana na kifo....spika haezi pewa mamlaka ya urais kwa vyovyote vile hadi pale rais na naibu wake hatakuepoNadhani Uhuru Kenyatta na Wafuasi wake wa Jubilee wanajifariji tu na ushindi huu mkubwa wanaoupata katika uchaguzi huu wa kurudiwa. Nimetafakari sana, na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa uchaguzi huu kurudiwa tena (re-run of the re-run election).
Ninahisi hapa, ni kwamba Uhuru Kenyatta alishinikiza huu uchaguzi wa marudio ufanyike ili kukwepa kipengele kinachomtaka aachie uraisi na kukabidhi uraisi kwa spika ikiwa uchaguzi wa marudio hautafanyika katika siku 60 toka ubatilishwe. Uchaguzi huu wa marudio ukibatilishwa, Uhuru ataendelea kuwa raisi chini ya sheria hiyohiyo ya siku 60 kwa kuwa uchaguzi wa marudio utakuwa umempa tena mamlaka uraisi na kuhitimisha zile siku 60 za ubatilishwaji wa uchaguzi wa kwanza. Ni kama Uhuru amepania kwamba uchaguzi wowote wa uraisi lazima ufanyike yeye akiwa raisi, sio akiwa amekabidhi uraisi kwa spika.
Sababu za kubwa za kufanya uchaguzi wa marudio urudiwe tena, ikiwa utapingwa mahakamani, ni kama zifuatazo;
- Kuna baadhi ya vipengele vilivyoamriwa virekebishwe na Mahakama Kuu iliyobatilisha havikurekebishwa
- Tayari kulikuwa na shauri la kuomba kuahirishwa kwa uchaguzi ambayo haikusikilizwa kutokana na kutotimia quorum ya majaji - lakini kwa kanuni ya sheria kutosikilizwa kwa shauri hilo ni justice denied, kitu ambacho hakikubaliki kisheria
- Siku chache kabla ya uchaguzi kuna kesi dhidi ya maofisa wa uchaguzi (returning officers) ambapo mahakama ilitoa hukumu kwamba kuteuliwa kwao kulikuwa batili, na bado hawa maofisa walitumika katika uchaguzi wa marudio kwa kuwa hakukuwa na muda wa kuwateua kivingine ili wawe halali
- Uchaguzi umefanyika katika mazingira hatarishi na inawezekana kabisa zaidi ya 50% ya watu waliojiandikisha wameshindwa kupiga kura (takwimu zimeonyesha waliopiga kura ni 33% tu ya waliojiandikisha)
- Tume ya uchaguzi ilishatoa tamko kwamba haiwezi kutoa hakikisho kwamba ingesiamamia uchaguzi wa marudio ili uwe wa uhuru na haki
- Kuna sehemu za Kenya ambako watu walishindwa kabisa kupiga kura kutokana na sababu mbalimbali na hivyo kuwanyima haki yao ya kupiga kura
Kesi ya high court iliyosema maafisa wa iebc hawakuajiriwa kihalali ilifutiliwa na court of appeal inakaa bado uko nyumaNadhani Uhuru Kenyatta na Wafuasi wake wa Jubilee wanajifariji tu na ushindi huu mkubwa wanaoupata katika uchaguzi huu wa kurudiwa. Nimetafakari sana, na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa uchaguzi huu kurudiwa tena (re-run of the re-run election).
Ninahisi hapa, ni kwamba Uhuru Kenyatta alishinikiza huu uchaguzi wa marudio ufanyike ili kukwepa kipengele kinachomtaka aachie uraisi na kukabidhi uraisi kwa spika ikiwa uchaguzi wa marudio hautafanyika katika siku 60 toka ubatilishwe. Uchaguzi huu wa marudio ukibatilishwa, Uhuru ataendelea kuwa raisi chini ya sheria hiyohiyo ya siku 60 kwa kuwa uchaguzi wa marudio utakuwa umempa tena mamlaka uraisi na kuhitimisha zile siku 60 za ubatilishwaji wa uchaguzi wa kwanza. Ni kama Uhuru amepania kwamba uchaguzi wowote wa uraisi lazima ufanyike yeye akiwa raisi, sio akiwa amekabidhi uraisi kwa spika.
Sababu za kubwa za kufanya uchaguzi wa marudio urudiwe tena, ikiwa utapingwa mahakamani, ni kama zifuatazo;
- Kuna baadhi ya vipengele vilivyoamriwa virekebishwe na Mahakama Kuu iliyobatilisha havikurekebishwa
- Tayari kulikuwa na shauri la kuomba kuahirishwa kwa uchaguzi ambayo haikusikilizwa kutokana na kutotimia quorum ya majaji - lakini kwa kanuni ya sheria kutosikilizwa kwa shauri hilo ni justice denied, kitu ambacho hakikubaliki kisheria
- Siku chache kabla ya uchaguzi kuna kesi dhidi ya maofisa wa uchaguzi (returning officers) ambapo mahakama ilitoa hukumu kwamba kuteuliwa kwao kulikuwa batili, na bado hawa maofisa walitumika katika uchaguzi wa marudio kwa kuwa hakukuwa na muda wa kuwateua kivingine ili wawe halali
- Uchaguzi umefanyika katika mazingira hatarishi na inawezekana kabisa zaidi ya 50% ya watu waliojiandikisha wameshindwa kupiga kura (takwimu zimeonyesha waliopiga kura ni 33% tu ya waliojiandikisha)
- Tume ya uchaguzi ilishatoa tamko kwamba haiwezi kutoa hakikisho kwamba ingesiamamia uchaguzi wa marudio ili uwe wa uhuru na haki
- Kuna sehemu za Kenya ambako watu walishindwa kabisa kupiga kura kutokana na sababu mbalimbali na hivyo kuwanyima haki yao ya kupiga kura
Hapana Mkuu, haiko hivyo kwa sasa. Ninachomaanisha ni kwamba hata wao wanaona haiko sawa Raisi kuchaguliwa kwa 33% turn out. Ndio maana wanataka kuwa na sheria inayofanya iwe lazima kwa watu kwenda kupiga kura, ili iwe ni kosa la jinao kwa mfano Odinga kushawishi watu wasipige kura siku zijazo, na kuondokana na aibu ya kuwa na raisi alieyechaguliwa kwa 33% turn out.
Na ni wazi Odinga alijitoa na ku-campaign watu wasijitokeze ili ku undermine credibility ya ushindi wa Uhuru kwenye rerun election.
Hata hivyo it is too soon kusema ushindi wa Uhuru wa hii rerun vote hautapingwa mahakamani na kubatilishwa. Binafsi nadhani kuna zaidi ya 60% probability ya uchaguzi kurudiwa tena! Kumbuka katika mambo haya election cost will never override an election constitutional right.
Nadhani Uhuru Kenyatta na Wafuasi wake wa Jubilee wanajifariji tu na ushindi huu mkubwa wanaoupata katika uchaguzi huu wa kurudiwa. Nimetafakari sana, na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa uchaguzi huu kurudiwa tena (re-run of the re-run election).
Ninahisi hapa, ni kwamba Uhuru Kenyatta alishinikiza huu uchaguzi wa marudio ufanyike ili kukwepa kipengele kinachomtaka aachie uraisi na kukabidhi uraisi kwa spika ikiwa uchaguzi wa marudio hautafanyika katika siku 60 toka ubatilishwe. Uchaguzi huu wa marudio ukibatilishwa, Uhuru ataendelea kuwa raisi chini ya sheria hiyohiyo ya siku 60 kwa kuwa uchaguzi wa marudio utakuwa umempa tena mamlaka uraisi na kuhitimisha zile siku 60 za ubatilishwaji wa uchaguzi wa kwanza. Ni kama Uhuru amepania kwamba uchaguzi wowote wa uraisi lazima ufanyike yeye akiwa raisi, sio akiwa amekabidhi uraisi kwa spika.
Sababu za kubwa za kufanya uchaguzi wa marudio urudiwe tena, ikiwa utapingwa mahakamani, ni kama zifuatazo;
- Kuna baadhi ya vipengele vilivyoamriwa virekebishwe na Mahakama Kuu iliyobatilisha havikurekebishwa
- Tayari kulikuwa na shauri la kuomba kuahirishwa kwa uchaguzi ambayo haikusikilizwa kutokana na kutotimia quorum ya majaji - lakini kwa kanuni ya sheria kutosikilizwa kwa shauri hilo ni justice denied, kitu ambacho hakikubaliki kisheria
- Siku chache kabla ya uchaguzi kuna kesi dhidi ya maofisa wa uchaguzi (returning officers) ambapo mahakama ilitoa hukumu kwamba kuteuliwa kwao kulikuwa batili, na bado hawa maofisa walitumika katika uchaguzi wa marudio kwa kuwa hakukuwa na muda wa kuwateua kivingine ili wawe halali
- Uchaguzi umefanyika katika mazingira hatarishi na inawezekana kabisa zaidi ya 50% ya watu waliojiandikisha wameshindwa kupiga kura (takwimu zimeonyesha waliopiga kura ni 33% tu ya waliojiandikisha)
- Tume ya uchaguzi ilishatoa tamko kwamba haiwezi kutoa hakikisho kwamba ingesiamamia uchaguzi wa marudio ili uwe wa uhuru na haki
- Kuna sehemu za Kenya ambako watu walishindwa kabisa kupiga kura kutokana na sababu mbalimbali na hivyo kuwanyima haki yao ya kupiga kura
Misinformation
1. Katiba na supreme court ziliamuru kuwe na uchaguzi ndani ya siku 60 ambazo zinaisha mwisho wa mwezi oktoba...iebc waliamua kuandaa uchaguzi 26th October baada ya kuangalia vigezo kadhaa....jubilee na NASA hamna aliyeandaa tarehe hio kama unavyojaribu kutueleza
Mkuu, katika suala la justice, huwezi kusema hatukusikiliza kesi kwa kuwa majaji walikuwa hosptali na holiday. That would be the highest level of defeating justice, kwa kuwa itakuwa perverse incentive ya kutosikiliza kesi za kikatiba ili kupindisha justice.Unatumia maneno mengi. Let me summarize my answer.
Anaye uwezo wa kusema uchaguzi urudiwe ni Supreme Court. Supreme Court inahitaji quorum ya majaji 5.
Sasa hivi, maneno iko hivi:
Jaji mmoja - hospitalini
Majaji watatu - holiday
Majaji watatu (Maraga, Mwilu, Lenaola) - Available.
In short, hakuna kesi inafika Supreme Court. Hapo ndio constition ina kick in.
If the presidential election is not nullified within 14 days, the president-elect is sworn in.
Angalia constitution inasema nini, ikiwa rerun election haijafanyika ndani ya siku 60. Kama kuna suala la rerun election then Vice President naye anakuwa hana legality ya kuwa vice president, kwa kuwa yeye ni vice president by virtue of the elected president, ndio maana rerun election isipofanyika ndani ya siku 60 anayechukua nafasi ya uraisi ni spika.Rais atabanduka mamlakani pale tu atakapo apishwa rais mwingine au kutokana na kifo....spika haezi pewa mamlaka ya urais kwa vyovyote vile hadi pale rais na naibu wake hatakuepo
Mkuu, katika suala la justice, huwezi kusema hatukusikiliza kesi kwa kuwa majaji walikuwa hosptali na holiday. That would be the highest level of defating justice, kwa kuwa itakuwa perverse incentive ya kutosikiliza kesi za kikatiba ili kupindisha justice.
Mkuu achana na Ra na La, jamaa katoa kitu cha kufikirika SanaJifunze kwanza matumizi ya "ra" na "la" ndipo uanzishe thread zako za kubashiri.
Kweli kama kuna hayo mapungufu na niwajuavyo wakenya,marudio yana weza fanyika tena.Ila nadhani sasa hekima itumike kwani grama za uchaguzi si hela ya peanuts kwa viongozi walio na uchungu na shida za wananchi.Lakini kama wako design ya hawa wa kwetu waliokubali mabilioni ya shilingi yaliyoteketea kwenye mchakato na rasimu ya katiba mpya yaende na maji,hatutashangaa kusikia marudio ya kura tena Kenya!Nadhani Uhuru Kenyatta na Wafuasi wake wa Jubilee wanajifariji tu na ushindi huu mkubwa wanaoupata katika uchaguzi huu wa kurudiwa. Nimetafakari sana, na kuona kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa uchaguzi huu kurudiwa tena (re-run of the re-run election).
Ninahisi hapa, ni kwamba Uhuru Kenyatta alishinikiza huu uchaguzi wa marudio ufanyike ili kukwepa kipengele kinachomtaka aachie uraisi na kukabidhi uraisi kwa spika ikiwa uchaguzi wa marudio hautafanyika katika siku 60 toka ubatilishwe. Uchaguzi huu wa marudio ukibatilishwa, Uhuru ataendelea kuwa raisi chini ya sheria hiyohiyo ya siku 60 kwa kuwa uchaguzi wa marudio utakuwa umempa tena mamlaka uraisi na kuhitimisha zile siku 60 za ubatilishwaji wa uchaguzi wa kwanza. Ni kama Uhuru amepania kwamba uchaguzi wowote wa uraisi lazima ufanyike yeye akiwa raisi, sio akiwa amekabidhi uraisi kwa spika.
Sababu za kubwa za kufanya uchaguzi wa marudio urudiwe tena, ikiwa utapingwa mahakamani, ni kama zifuatazo;
- Kuna baadhi ya vipengele vilivyoamriwa virekebishwe na Mahakama Kuu iliyobatilisha havikurekebishwa
- Tayari kulikuwa na shauri la kuomba kuahirishwa kwa uchaguzi ambayo haikusikilizwa kutokana na kutotimia quorum ya majaji - lakini kwa kanuni ya sheria kutosikilizwa kwa shauri hilo ni justice denied, kitu ambacho hakikubaliki kisheria
- Siku chache kabla ya uchaguzi kuna kesi dhidi ya maofisa wa uchaguzi (returning officers) ambapo mahakama ilitoa hukumu kwamba kuteuliwa kwao kulikuwa batili, na bado hawa maofisa walitumika katika uchaguzi wa marudio kwa kuwa hakukuwa na muda wa kuwateua kivingine ili wawe halali
- Uchaguzi umefanyika katika mazingira hatarishi na inawezekana kabisa zaidi ya 50% ya watu waliojiandikisha wameshindwa kupiga kura (takwimu zimeonyesha waliopiga kura ni 33% tu ya waliojiandikisha)
- Tume ya uchaguzi ilishatoa tamko kwamba haiwezi kutoa hakikisho kwamba ingesiamamia uchaguzi wa marudio ili uwe wa uhuru na haki
- Kuna sehemu za Kenya ambako watu walishindwa kabisa kupiga kura kutokana na sababu mbalimbali na hivyo kuwanyima haki yao ya kupiga kura
Mkuu, katika suala la justice, huwezi kusema hatukusikiliza kesi kwa kuwa majaji walikuwa hosptali na holiday. That would be the highest level of defating justice, kwa kuwa itakuwa perverse incentive ya kutosikiliza kesi za kikatiba ili kupindisha justice.
Mkuu, katika suala la justice, huwezi kusema hatukusikiliza kesi kwa kuwa majaji walikuwa hosptali na holiday. That would be the highest level of defating justice, kwa kuwa itakuwa perverse incentive ya kutosikiliza kesi za kikatiba ili kupindisha justice.
Mi siangalii ujumbe ila hayo maneno yenu ya kisheria na kiingereza asee raha sana duh inglish kozi inanihusu asee