Uchaguzi wa uliorudiwa Kenya una kila harufu ya kurudiwa tena!

Ingekuwa hivyo Mkuu, Kenya sasa hivi wasingekuwa wanajadili kutunga sheria ya kulazimisha watu kupiga kura (mandatory voting law). Wameona kuwa na preseident aliyechaguliwa kwa turn out ya 33% ni issue!
Hamna issue ni wewe unalazimisha kuwe na issue......katiba inasema ndo uwe rais lazma upate nusu ya KURA ZILIZOPIGWA na uwe na zaidi ya asilimia 25 kwa zaidi ya kaunti 24....Uhuru amepata 98% ya kura zilizopigwa na amepata more than 25% in 44 counties
 
Misinformation
1. Katiba na supreme court ziliamuru kuwe na uchaguzi ndani ya siku 60 ambazo zinaisha mwisho wa mwezi oktoba...iebc waliamua kuandaa uchaguzi 26th October baada ya kuangalia vigezo kadhaa....jubilee na NASA hamna aliyeandaa tarehe hio kama unavyojaribu kutueleza
2. Ni vigezo vipi hivyo vilivyotajwa na mahakama havijarekebishwa?. Kama tujuavyo mahakama ilitaja
a) fomu kukosa muhuri kutoka kwa RO na maegenti
b) fomu kukosa security features
c)KIEMs kukosa kutuma picha ya fomu
d) mwenyekiti kutangaza matokeo bila kupokea fomu zote a na b
e)ungazetted polling stations and electoral officials
f)mwenyekiti kukosa kuverify fomu
Hayo yote kama tujuavyo yamerekebishwa pamoja na wanahabari kukubaliwa access to polling stations na kuair live( ifahamike citizen TV waliandaa tallying centre yao na walituma wanahabari kwa kila constituency)
3) IEBC inakubaliwa kupostpond uchaguzi sehemu yeyote kama wana sababu ya kuamini itakua ngumu kuandaa uchaguzi sehemu hizo kutokana na sababu za kiusalama au natural disaster na wanakubaliwa kutangaza matokeo kama kura kutoka kwa sehemu hizo haina effect kwa matokeo yote
 
Rais atabanduka mamlakani pale tu atakapo apishwa rais mwingine au kutokana na kifo....spika haezi pewa mamlaka ya urais kwa vyovyote vile hadi pale rais na naibu wake hatakuepo
 
Kesi ya high court iliyosema maafisa wa iebc hawakuajiriwa kihalali ilifutiliwa na court of appeal inakaa bado uko nyuma
 

ushindi hauwezi pingwa kisa turn out ya 38% hiyo sheria haipo. na hii turn out haiundermine ushindi wa uhuru kama ulivyosema make sababu iko wazi kuna mtu aligomesha. labda hiyo turn out ingekuwa ndogo bila influence ya wanasiasa yaani hali ingekuwa kama ule uchaguz wa augost 8 bas hapo ndo ingeleta dosari ya ushindi wa uhuru
 

Unatumia maneno mengi. Let me summarize my answer.
Anaye uwezo wa kusema uchaguzi urudiwe ni Supreme Court. Supreme Court inahitaji quorum ya majaji 5.

Sasa hivi, maneno iko hivi:

Jaji mmoja - hospitalini
Majaji watatu - holiday
Majaji watatu (Maraga, Mwilu, Lenaola) - Available.

In short, hakuna kesi inafika Supreme Court. Hapo ndio constition ina kick in.

If the presidential election is not nullified within 14 days, the president-elect is sworn in.
 
Re run of the re run election will in no way bring any benefit to the Government of Kenya or to any Kenya's.
 

Mkuu, inabidi uelewe maana ya misinformation, sio unalituia neno bila kuwa makini. Katika misinformation kunakuwa na kusudi maalum la kupotosha watu ili kupata kwa faida fulani. Sasa mimi nikitaka kuwa misinform watu kuwa kuna dalili za uchaguzi Kenya kurudiwa nitapata faida gani? Na nimesema harufu.

Bottom line, katika hotuba yake baada ya kutangazwa mshindi, Uhuru kwa maneno yake mwenyewe ametamka kwamba ushindi wake wa rerun election ni hatua tu katika process ya kikatiba ambayo itafuata kuhusu uchaguzi huo, na anaelewa kuwa katika process hiyo ushindi wake unaweza kubatilishwa na yuko tayari kuheshimu uamuzi huo ikiwa utatolewa na mahakama.

Sasa kama Uhuru aliyechaguliwa anakiri kwamba kuna chances ushindi wake ukabatilishwa ili uchaguzi mwingine ufanyike, who are you kusema suala la rerun election kurudiwa ni misinformation? Try to be your age and pragmatic, acha ushabiki wa kikabila.
 
Mkuu, katika suala la justice, huwezi kusema hatukusikiliza kesi kwa kuwa majaji walikuwa hosptali na holiday. That would be the highest level of defeating justice, kwa kuwa itakuwa perverse incentive ya kutosikiliza kesi za kikatiba ili kupindisha justice.
 
Rais atabanduka mamlakani pale tu atakapo apishwa rais mwingine au kutokana na kifo....spika haezi pewa mamlaka ya urais kwa vyovyote vile hadi pale rais na naibu wake hatakuepo
Angalia constitution inasema nini, ikiwa rerun election haijafanyika ndani ya siku 60. Kama kuna suala la rerun election then Vice President naye anakuwa hana legality ya kuwa vice president, kwa kuwa yeye ni vice president by virtue of the elected president, ndio maana rerun election isipofanyika ndani ya siku 60 anayechukua nafasi ya uraisi ni spika.
 

We as Jubilee know that and we don't care. Nasa has been defeating justice since day one. It's our turn to play dirty.
Uhuru will be sworn in after 14 days.
 
Ngoja wakenya wapambane kuweka mambo sawa kwanza
 
Kweli kama kuna hayo mapungufu na niwajuavyo wakenya,marudio yana weza fanyika tena.Ila nadhani sasa hekima itumike kwani grama za uchaguzi si hela ya peanuts kwa viongozi walio na uchungu na shida za wananchi.Lakini kama wako design ya hawa wa kwetu waliokubali mabilioni ya shilingi yaliyoteketea kwenye mchakato na rasimu ya katiba mpya yaende na maji,hatutashangaa kusikia marudio ya kura tena Kenya!
 

Mi siangalii ujumbe ila hayo maneno yenu ya kisheria na kiingereza asee raha sana duh inglish kozi inanihusu asee
 

Mi siangalii ujumbe ila hayo maneno yenu ya kisheria na kiingereza asee raha sana duh inglish kozi inanihusu asee

Hahaha! Sawa Mkuu. Ila hapo kwenye defating justice inatakiwa iwe defeating. Typo.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…