Uchaguzi wa washiriki wa Big Brother, siri iliyofichuka nyuma ya story ya Dida na Mume wake

Uchaguzi wa washiriki wa Big Brother, siri iliyofichuka nyuma ya story ya Dida na Mume wake

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Nimeangalia video iliyowekwa mitandaoni inayomuonesha Yule aliekuwa mume wa Dida akihojiwa sababu za kuachana na mke wake.

Kuna hiki kitu amekitaja kimenivutia kdogo nidadisi
" Kwamba Mult choice walikuwa wanamuandaa Dida kuwa mshiriki wa mwaka huu? Tena kabla ya mchakato rasmi kuanza??

Je hivi ndivyo ina vyokuwaga au ??
 
Na alivyo?jamani huyo anaenda kutuaibisha tu

The ishu ni kuwa je hii ndo namna wanavyopata washiriki? Kwa kupick tu na siyo kushindanisha kama ambavyo huwa wanatudanganya?
 
hivi Dida yule anajua kiingereza kweli...

Mume wake alisema alikuwa anamfundisha tenses ili akaongee mjengon, wat wana masihar, wanaichukulia lugha rahis hvyo unajifunza leo kesho unaongea, nasikia alikuwa anapewa darasa na mumewe, sijui edzen alikuwa anamdhalilisha mkewe au vp
 
angeenda kwa Ras simba week 3 unajua kiingereza fresh usipojua unarudishiwa pesa

cc mpwa Matola

mpwa huyu ras simba nchi zilizo serious na elimu ni wakuwekwa jela kabisa.

mimi nimekwenda shule na nimekaa British Columbia kwa miaka kadhaa na nimesoma British council English course na bado mpaka kesho naendelea kujifunza English sembuse huyu muhuni wa wiki tatu?
 
Last edited by a moderator:
Kwenye hyo video ,Jamaa ana sema kuwa walimwita mwalimu awe anamfundisha kiingereza.

mimi naongea kingereza cha kunisaidia mawasiliano na nimesoma English course British council, English si sawa na kukata viuno kwenye vigodoro au mirindimo ya pwani.
 
mimi naongea kingereza cha kunisaidia mawasiliano na nimesoma English course British council, English si sawa na kukata viuno kwenye vigodoro au mirindimo ya pwani.
lugha kuijua si kwa kukaa darasani tu lazima ufanye mazoezi ya kuongea mara kwa mara. ..nilifanya kazi Mozambique mwaka lakini nilijua kireno na sikukaa darasani hata sikumoja
 
Mume wake alisema alikuwa anamfundisha tenses ili akaongee mjengon, wat wana masihar, wanaichukulia lugha rahis hvyo unajifunza leo kesho unaongea, nasikia alikuwa anapewa darasa na mumewe, sijui edzen alikuwa anamdhalilisha mkewe au vp

hahaha binamu umenichekesha kwahiyo mume alikua anamfundisha kiingereza lol...
past present tense
 
lugha kuijua si kwa kukaa darasani tu lazima ufanye mazoezi ya kuongea mara kwa mara. ..nilifanya kazi Mozambique mwaka lakini nilijua kireno na sikukaa darasani hata sikumoja

wewe sijui kama unajuwa kusoma kweli, mimi nimeishi kwa miaka mitano mfululizo kwenye nchi wanayoongea kingereza tu na majimbo baadhi ndio wanaongea kifaransa.

jifunze kusoma kabla ya kucomement au bora ungeuliza maana ya British Columbia ningekuelimisha. wewe unaongele Mozambique hujui kwamba hata Angola na Brazil ndio lugha yao hiyo hiyo?
 
Mume wake alisema alikuwa anamfundisha tenses ili akaongee mjengon, wat wana masihar, wanaichukulia lugha rahis hvyo unajifunza leo kesho unaongea, nasikia alikuwa anapewa darasa na mumewe, sijui edzen alikuwa anamdhalilisha mkewe au vp

Binamu nasikia kuwa Dida alimdanganya ezden kuwa amechaguliwa kama mmoja wa wageni watakaokwenda mjengoni siku ya ufunguzi (kama alivyoendaga marehemu Kanumba), ndo maana Ezden akawa anampa support ya kumfundisha ngeli mamaaaa, but siku ya siku sijui dida mwenyewe akamwambia mumewe kwamba ana mpango wa kushiriki BBA na akawadanganya ndugu zake kumwa Ezden kamkubalia kwenda kushiriki, hii nayo ikawa moja ya sababu za ugomvi wao hadi talaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mume wake alisema alikuwa anamfundisha tenses ili akaongee mjengon, wat wana masihar, wanaichukulia lugha rahis hvyo unajifunza leo kesho unaongea, nasikia alikuwa anapewa darasa na mumewe, sijui edzen alikuwa anamdhalilisha mkewe au vp

huyo edzen nae uswahili umemtawala asa anaongea ya faragha ili iweje?
 
hahaha binamu umenichekesha kwahiyo mume alikua anamfundisha kiingereza lol...
past present tense

Mwenzangu ndo alikuwa anayaropoka wakat wameachana, sie wambea tuna note tu kichwani, nasikia dida alimuomba mumew amfundishe kuongea yeye hajui vizur, dida wa watu kaona sio kesi kwan inahuu? Sasa bi shost nae kakosea hyo big brother si kesho kutwa? Aya hiko kiingereza cha kufundishana wiki mbil ukaongee big brother kabisa na watu wakuelewe mmh kaz ipo
 
Back
Top Bottom