Uchaguzi wa washiriki wa Big Brother, siri iliyofichuka nyuma ya story ya Dida na Mume wake

huyo edzen nae uswahili umemtawala asa anaongea ya faragha ili iweje?

Alikuwa anatak kumdhalilisha si aliongea wakat wameachana, mmh jamaa mwenyew kama ana sickle cell yul, iv mzima yule?
 
Binamu nasikia kuwa Dida alimdanganya ezden kuwa amechaguliwa kama mmoja wa wageni watakaokwenda mjengoni siku ya ufunguzi (kama alivyoendaga marehemu Kanumba), ndo maana Ezden akawa anampa support ya kumfundisha ngeli mamaaaa, but siku ya siku sijui dida mwenyewe akamwambia mumewe kwamba ana mpango wa kushiriki BBA na akawadanganya ndugu zake kumwa Ezden kamkubalia kwenda kushiriki, hii nayo ikawa moja ya sababu za ugomvi wao hadi talaka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mmh huyu dida nae anayaweza, sasa mjengon na yeye wap na wapi? Hiyo mipasho yake na taarabu ndo alitak apelek Bba? Sasa kumbe ni uongo hakuchaguliwa wala nn?
 
mpwa huyu ras simba nchi zilizo serious na elimu ni wakuwekwa jela kabisa.

mimi nimekwenda shule na nimekaa British Columbia kwa miaka kadhaa na nimesoma British council English course na bado mpaka kesho naendelea kujifunza English sembuse huyu muhuni wa wiki tatu?

funguka vizuri mkuu ina maana hata cha kuombea maji kinakushinda?
 
Mmh huyu dida nae anayaweza, sasa mjengon na yeye wap na wapi? Hiyo mipasho yake na taarabu ndo alitak apelek Bba? Sasa kumbe ni uongo hakuchaguliwa wala nn?

Sasa hapo ndo hata hatujui, ilikuwaje yeye apate uhakika wa kwenda mjengoni hadi kuanza kujifunza ngeli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sasa hapo ndo hata hatujui, ilikuwaje yeye apate uhakika wa kwenda mjengoni hadi kuanza kujifunza ngeli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kwenye interview Huyo Mume wake anamtaja mtu mmoja Kwa jina Eliza. Sijui Eliza amesema ... Sa sijui Huyo Eliza anahusikaje na BBA
 
Ulijua kireno kile cha "that that that mine bag"kuongea bila kujua svoca ni bureeeeee.
 
Sasa hapo ndo hata hatujui, ilikuwaje yeye apate uhakika wa kwenda mjengoni hadi kuanza kujifunza ngeli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

MMmh alikuwa anataka atufanyie surprise bi shost ila bahat mbay yamemkuta na ya kumkuta mmh na bora maana uko ingekuwa balaa
 
yani kuna watu kwenye ndoa wanaigiza kweli.yani mke wa mtu aende bigbrother shower hour akaonyeshe ------?mm hata kusikia st nisije kupata murder kesi bure
 
Kwenye interview Huyo Mume wake anamtaja mtu mmoja Kwa jina Eliza. Sijui Eliza amesema ... Sa sijui Huyo Eliza anahusikaje na BBA

Mmh labda huyo Eliza ndo alikuw anamuunganishia aende mjengoni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kiingereza cha tuisheni labda angeelewana na big tu sio house mates wenzake mtu kama Nando akipasua mayai ya kitaa tu kama lugha ya mateja dida si angekuwa bubu tu mule.. acheni utani jamani lol
 
Mwenzie nando kaish Usa so ngel sio shida ,aya huyu kibibi aliyezaliwa mwananyamar na kukulia uko wap n wap
 
Uhuni bongo hauishii kwa ufisadi wa viongozi pekee, hata hizi ishu za washindi wa makampuni yanayoendesha bahati nasibu huwa ni utata mtupu na full sintofahamu, kuitwa kwenye usaili huwa ni kutimiza wajibu tu.

Nadhani Edzen alijikuta anaelezea hisia zake kwa jamii bila kukumbuka kuwa kuongelea ishu ya BBA ni kuwaharibia Multchoice....sipati picha Babra Kambogi alipoona ile video tumbo lilinguruma kwa muda gani..kama sio siku nzima.

Na utetezi watakaokuja nao ni simple tu....."Dida alikuwa anajiropokea tu".
 
Bahati Nzuri waliyoipata akina Badra na team nzima ya multchoice ni upofu mkubwa walioupata wa bongo juu ya hii ishu.

Yaani watu wakawa wapo very busy na ishu nyingine nyingine wakaacha kufocus kwenye tuhuma nzito juu yao .

Ni Bahati nzuri Kwa kweli
 
Nashangaa unajua hiyo ni tuhuma nzito kwa multi choice hata kama Ezden karopoka kwa hasira but kaaribu jina la Multichoice na watu watakosa iman kwa kila mshiriki atakayekuwa anapitishwa na walio pitishwa mwanzo watu watahisi walisha pangwa.
 
Back
Top Bottom