hivi Dida yule anajua kiingereza kweli...

alikuwa aende kujifunza english course
hivi Dida yule anajua kiingereza kweli...
Kwenye hyo video ,Jamaa ana sema kuwa walimwita mwalimu awe anamfundisha kiingereza.
lugha kuijua si kwa kukaa darasani tu lazima ufanye mazoezi ya kuongea mara kwa mara. ..nilifanya kazi Mozambique mwaka lakini nilijua kireno na sikukaa darasani hata sikumojamimi naongea kingereza cha kunisaidia mawasiliano na nimesoma English course British council, English si sawa na kukata viuno kwenye vigodoro au mirindimo ya pwani.
Mume wake alisema alikuwa anamfundisha tenses ili akaongee mjengon, wat wana masihar, wanaichukulia lugha rahis hvyo unajifunza leo kesho unaongea, nasikia alikuwa anapewa darasa na mumewe, sijui edzen alikuwa anamdhalilisha mkewe au vp
lugha kuijua si kwa kukaa darasani tu lazima ufanye mazoezi ya kuongea mara kwa mara. ..nilifanya kazi Mozambique mwaka lakini nilijua kireno na sikukaa darasani hata sikumoja
Mume wake alisema alikuwa anamfundisha tenses ili akaongee mjengon, wat wana masihar, wanaichukulia lugha rahis hvyo unajifunza leo kesho unaongea, nasikia alikuwa anapewa darasa na mumewe, sijui edzen alikuwa anamdhalilisha mkewe au vp
hivi Dida yule anajua kiingereza kweli...
Mume wake alisema alikuwa anamfundisha tenses ili akaongee mjengon, wat wana masihar, wanaichukulia lugha rahis hvyo unajifunza leo kesho unaongea, nasikia alikuwa anapewa darasa na mumewe, sijui edzen alikuwa anamdhalilisha mkewe au vp
hahaha binamu umenichekesha kwahiyo mume alikua anamfundisha kiingereza lol...
past present tense