Uchaguzi 2020 UCHAGUZI WA ZANZIBAR: Great thinkers, inabidi iwashangaze kuwa mpaka sasa hakuna mwana CCM yeyote aliyechukuwa fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho.

Joined
Nov 27, 2019
Posts
75
Reaction score
116
Amani iwe nanyi,

Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu.

Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green light huyo mpendekezwa kwenda kuchukua fomu??

Je, ni kweli wenzangu na mimi wanaogopa kiasi ya kwamba wanahisi akichkua fomu halafu "akikatwa" hata nafasi ya uwaziri anaweza akaikosa hapo baadae?

Ngoja niache mjadala uendelee lakini majina yangu matano ni kama ifuatavyo

Mohamed Aboud
Hussein Ali Hassan
Makame Mbarawa
Haji Omar Kheir
Pereira Silima
 
Prof Mbarawa
Na huyo Shekhe Silima

Wanadeserves
 
Wanajua hayo ni maigizo na wao hawataki kuigiza wamenyuti!watakaochukua fomu ni wale watakaoambiwa wachukue!!
 
Kujitoa kupambana na Maalim wakati nafasi ya ccm kuiba kura au kuharibu uchaguzi ni ndogo ni sawa na kujifunga Bomu.
Nafasi ya "Jecha" wa Leo kufanya ya kale ni almost hakuna
 
ZANZIBAR NI MALI YA DR HUSSEIN MWINYI...OVER
 
Kwani CCM wametangaza rasmi kuanza kuchukua fomu?
 
Mbarawa na mwinyi Nani kwti yao Ni mzanzibar halisi? Happy nabashir ,,,,,,,,😂😂😂😂😂MbarawAaaaaaaaaasss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…