Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Hope tutafika salama huko tuendako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu wangu mtanisamehe, mengine tunamezea lakini hili HAPANA!
Invisible,
JK alikuwa Mwanza tarehe 16 October 2010? Na Ridhiwani alikuwa huko siku hiyo?
Kuna watu nafikiri wanaandaa mazingira ya Watanzania kuchinjana. Kuweni waangalifu sana!
Wewe ndiyo huna macho na umevaa miwani! Barua hizi zimescaniwa, na ushahidi wa Ref numba upo, na nembo ipo, na majina ya wahusika yapo! na Invible kasema wamemezea mengi hili kashindwa, hiyo ndiyo hali halisi, na kama umepitia taarifa ni kuwa inasemekana mgombea wa Nyamagana aliahidiwa dongo nono ili asihoji matokeo, sasa huoni kuna link kwenye hili tukio!!Mkuu Invisible, with due respect; Hivi, uliona wapi wafanya magendo au wala rushwa wakapeana risiti? nadhani hiyo barua ndio uchakachuaji wenyewe na aliyeitoa anakusudia kujenga hofu na kuwababaisha watu.
Uzoefu wangu wa rafu za uchaguzi huwa hakuna maandishi labda pale mnapotaka kujenga mazingira ya kufungua kesi kupinga matokeo.
Kama Kikwete mwenyewe alikuwa anatoa maelekezo haya still anatamba atashinda kwa kishindo ni aibu it is more than dangerous huu ndio udikteta unaingia taratibu tanzania.