Elections 2010 Uchakachuaji mkubwa wa wapiga kura ni huu!

Elections 2010 Uchakachuaji mkubwa wa wapiga kura ni huu!

MTWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2009
Posts
1,166
Reaction score
168
kana sehemu nyingi wasimamizi wameripotiwa kutotaka kuhakiki majina ya wapiga kura, yaani mawakala hawaambiwi,
Sehemu zingine hata daftari hawana access nalo.
halafu kuna kutofautiana kwa namba za kitambilisho cha kura, lakini kuna watu walipita kipindi fulani kurekodi namaba za vitambulisho, lakini pia kuna vitambulisho visivyo na picha

Je hapa hakuna mwanya wa uchakachuaji wa kura?
 
Back
Top Bottom