Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,361 Reaction score 2,378 Jan 4, 2011 #1 wamechakachua baiskeli kwenye parking wamebakiza frame tu duh.. kumbe sio KURA tu!!
malipula JF-Expert Member Joined Sep 30, 2010 Posts 323 Reaction score 120 Jan 4, 2011 #2 Yawezekana ni mwenyewe kachukua baadhi ya vifaa na kupeleka kwenye baiskeli nyingine anayomiliki.Au uliwashuhudia wachakachuaji?
Yawezekana ni mwenyewe kachukua baadhi ya vifaa na kupeleka kwenye baiskeli nyingine anayomiliki.Au uliwashuhudia wachakachuaji?