Uchakachuzi wa hela za walimu wapya

Uchakachuzi wa hela za walimu wapya

MPARE KIBOGOYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
405
Reaction score
279
Wanajukwaa nilipokuwa ninaambiwa halmashauri zetu hasa za mijini zimejaa viongozi wezi, wadokozi wasio na huruma nilibisha. walimu wengi wanalalamika ela zao za kujikimu kuchakachuliwa na maafisa wa elimu wakishirikian na viongozi wengine wa halmashauri.

Wengine hadi leo wanaambiwa halmashauri hazina ela.

Kwa hali hii tuna safari ndefu...
 
Mmmh! Emu ngoja tuone siye tumeambiwa tuandike barua za kuomba hizo posho zetu loh!
 
Siye hatujachakachuliwa hata senti! Pasu kwa pasu !!
 
kazeni msikubali kuandika madai watawazingua muwasiliane na wenzenu ili mpate haki yenu.
 
Wadau, mwalimu wa shahada aliyepangiwa halmashauri analipwa sh.ngapi per day?
 
Back
Top Bottom