MPARE KIBOGOYO
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 405
- 279
Wanajukwaa nilipokuwa ninaambiwa halmashauri zetu hasa za mijini zimejaa viongozi wezi, wadokozi wasio na huruma nilibisha. walimu wengi wanalalamika ela zao za kujikimu kuchakachuliwa na maafisa wa elimu wakishirikian na viongozi wengine wa halmashauri.
Wengine hadi leo wanaambiwa halmashauri hazina ela.
Kwa hali hii tuna safari ndefu...
Wengine hadi leo wanaambiwa halmashauri hazina ela.
Kwa hali hii tuna safari ndefu...