Jibuni hoja za Wassira, hoja za kuwa akalee vitukuu, cjui anasinzia sio mambo wanayotaka watanzania, unaulizwa swali uko tayari kwa mdahalo na Wassira unajibu kwa hasira, Wassira wa nn mm akaleee vitukuu huko.
Huyo ndio Steven Wassira, mwanaume yeyote mwenye hoja aombe mdahalo naye ili muone kuwa CCM haikukosea hata kidogo.
Pumbavu kabisa.