Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm daimaJibuni hoja za Wassira, hoja za kuwa akalee vitukuu, cjui anasinzia sio mambo wanayotaka watanzania, unaulizwa swali uko tayari kwa mdahalo na Wassira unajibu kwa hasira, Wassira wa nn mm akaleee vitukuu huko.
Huyo ndio Steven Wassira, mwanaume yeyote mwenye hoja aombe mdahalo naye ili muone kuwa CCM haikukosea hata kidogo.
Pumbavu kabisa.
Rudi shule bro, nchi hii ina watu heavy duty kwa hoja huyo mzee akasome. Halaf ujue humu ndani kuna wasomi, watu wenye experience si chawaHakuna mwenye ubavu wa kushindana kwa hoja na Mzee Stephen Wassira.
Na hao wote HAWANA uwezo wa kujenga hoja zaidi Mzee Wassira ndio maana hso wanaonesha umahiri Jf na Mzee Wassira anauonesha kwenye kuongoza nchi! Very different!Rudi shule bro, nchi hii ina watu heavy duty kwa hoja huyo mzee akasome. Halaf ujue humu ndani kuna wasomi, watu wenye experience si chawa