Magolikipa miaka 28 sio Mzee..Diarra Kashazeeka..! Hakuna timu Uingereza wanachukua wazee...!
Labda aende Saudia
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi a anavyowapelekea motoYaaah mkuu.....hata rage alisema sisi mashabiki Wana Simba ni mbumbumbu
Kivp mkuuWakati mwingine nataman wabongo waongelee mpira na sio ulevi wa kuongelea mpira
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Msifie mumeo huyoRage ni mtu wa fact[emoji23]