Uchambuzi: De gea Ampishe Diarra pale Man united

Uchambuzi: De gea Ampishe Diarra pale Man united

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kwa moto anaouonesha Diarra ....the screen protector or mdaka mishale ( Kwa makolo mlio kimbia kusoma shule)

Naona kabisa akitua pale man united....basi Manchester united wanaweza kuwa ni timu tishio hapa Duniani....kwanza jamaa anachezesha timu Kuna muda anaenda Hadi katikati ya uwanja, anajiamini .......

Hakika Diarra anaweza kuwa mwarobaini ( cure) ya Manchester united

NB: Maendeleo hayana Chama
1685870285401.jpg
 
Back
Top Bottom