Uchambuzi: De gea Ampishe Diarra pale Man united

Ligi ya England ni tofauti sana, huyu diara kule mpaka ligi inaisha atakuwa the worst keeper of the season, ...remember yanayowakuta kina mendy wa Chelsea na mwenzie kepa wote walikuja wakiwa hot lakini kadri muda unavyosonga ndo wanaonekana mashati tu
 
Ato adopt kulingana mazingira
 
Mashuti ya kina Haaland na Harry Kane sio mchezo...bado kuna free kick za kina James ward prawse
 
Ila hakuweza kuzuia 2 pale taifa!!wonder how??
Sijui ulikuwa Una umri gani siku kipa Bora kabisa kutokea kwenye premier League..Peter Schmeical akifungwa 5 na Newcastle United Enzi hizo..kocha wa Newcastle Kevin Keegan
 
Sijui ulikuwa Una umri gani siku kipa Bora kabisa kutokea kwenye premier League..Peter Schmeical akifungwa 5 na Newcastle United Enzi hizo..kocha wa Newcastle Kevin Keegan
Achana na story za miaka hiyo,!alikuwa wapi kuzuia zile 2 pale lupaso??jibu tu hilo swali mkuu.[emoji1787]
 
Sijui ulikuwa Una umri gani siku kipa Bora kabisa kutokea kwenye premier League..Peter Schmeical akifungwa 5 na Newcastle United Enzi hizo..kocha wa Newcastle Kevin Keegan
Huyu ni dg kazaliwa 2008
 
Unajua leo ni birthday yangu mkuu nmefikisha miaka mingi sana,kunambia nimezaliwa 2008 manake nna miaka chinibya 18 ni utovu wa nidhamu.
Nisamehe sana mkuu..nmekosa sana

Anyway tupe location.....tuje tukupige water la kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…