Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Ligi ya England ni tofauti sana, huyu diara kule mpaka ligi inaisha atakuwa the worst keeper of the season, ...remember yanayowakuta kina mendy wa Chelsea na mwenzie kepa wote walikuja wakiwa hot lakini kadri muda unavyosonga ndo wanaonekana mashati tuKwa moto anaouonesha Diarra ....the screen protector or mdaka mishale ( Kwa makolo mlio kimbia kusoma shule)
Naona kabisa akitua pale man united....basi Manchester united wanaweza kuwa ni timu tishio hapa Duniani....kwanza jamaa anachezesha timu Kuna muda anaenda Hadi katikati ya uwanja, anajiamini .......
Hakika Diarra anaweza kuwa mwarobaini ( cure) ya Manchester united
NB: Maendeleo hayana Chama View attachment 2645718