Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili.
Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake.
Kwa kikosi hiki Cha Yanga ni wazi tu kuwa ndani ya dk 45 za Kwanza Simba watakula goli sio chini ya 5. Kulingana na udhaifu na ugeni wa wachezaji hivyo itapelekea kufanya makosa mengi kutokana na ukosefu wa muunganiko wa wachezaji.
Mfano mechi dhidi ya APR haikua kipimo sahihi Kwa Simba at least wangecheza na Tanzania Prisons pia matokeo waliyopata Simba yalitokana na juhudi binasfi za wachezaji.
Ushauri wangu: Simba tarehe 8 waingie na mentality ya kupaki basi + viungo wakabaji wengi. Otherwise msiba utakuwa mkubwa pale Simba.