Uchambuzi derby: First half naona Simba akipigwa mvua ya magoli mengi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili.

Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake.

Kwa kikosi hiki Cha Yanga ni wazi tu kuwa ndani ya dk 45 za Kwanza Simba watakula goli sio chini ya 5. Kulingana na udhaifu na ugeni wa wachezaji hivyo itapelekea kufanya makosa mengi kutokana na ukosefu wa muunganiko wa wachezaji.

Mfano mechi dhidi ya APR haikua kipimo sahihi Kwa Simba at least wangecheza na Tanzania Prisons pia matokeo waliyopata Simba yalitokana na juhudi binasfi za wachezaji.

Ushauri wangu: Simba tarehe 8 waingie na mentality ya kupaki basi + viungo wakabaji wengi. Otherwise msiba utakuwa mkubwa pale Simba.

 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
 
kutazama mechi 1 au 2 haina maana ya kusema ni upungufu au timu hii ni bora zaidi hapana siku zote mpira ni dakika 90.

Mchezo unaweza kubadilika wakati wowote na chochote kinaweza kutokea uwanjani.

Nilicho gundua watanzania ni wazuri kwenye mpira wa maongezi/uchambuzi ila si kwenye matendo yaani kucheza mpira kwa weledi na ujuzi ni asilimia 5% tu.
 
Kikosi cha Simba ....bado ni chepesi sana
 
Wale red arrows kama kocha sio kutaka kila mchezaji acheze kipangwe kikosi kweli kweli ata sita wangekula. Diara, yao, Kibabage (Boka) Job, baka, Aucho,Abuya, zengeli, pakome, Azizi Ki, Mzize(Dube,Baleke,Msonda). Tarehe 8 zikipungua 4 nipigwe Ban.
 
Wale red arrows kama kocha sio kutaka kila mchezaji acheze kipangwe kikosi kweli kweli ata sita wangekula. Diara, yao, Kibabage (Boka) Job, baka, Aucho,Abuya, zengeli, pakome, Azizi Ki, Mzize(Dube,Baleke,Msonda). Tarehe 8 zikipungua 4 nipigwe Ban.
Tatizo watu wabishi mkuu
 
Kambale
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…