Uchambuzi derby: First half naona Simba akipigwa mvua ya magoli mengi

Ujinga huu mmeupeleka Kwa Kaiser Chief wamewajua nyie ni waswahili. Hakuna MTU atapenda kushirikiana na wajinga😄
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana
I mark your ID mtani tarehe 8 nitakusaka hadi chini ya uvungu, lazima tukutoe hadharani, yaani mtu mwema kabisa Labani anakwambia ujiandae kwa kipigo labda uje uwanjani na maji ya kuosha machozi we unamdharau, why? ndo maana kwa dharau hizi makolo mkapigwa bakora khamsa ishirini kono la nyani!!

Hivi pale mbumbumbu street (msimbazi) beki wenu gani ana uwezo wa kuwazuia Pacome, Aucho, Max, Ki Aziz, Dube na Chama kwa pamoja? Huoni itakuwa balaa tupu halafu unaambiwa ukachume fimbo uje uchapwe unakebehi na kushupaza mishipa ya shingo, kalagabaho!!
 
tutatimiza wajibu naona kila mwanachama anasema anamwachia Mungu kwan sisi tumememwachia nan watasematu
 
Yaaah mkuu saizi Yanga Haina urafiki....ni kichapo tu [emoji23]
Midomo zile goli tano zilikuwa zinatangazwa utafikiri kigori mara ya Kwanza kupata Bwana😁. Utafikiri Yanga haijawahi kupigwa 6. Yanga ipunguze shobo kama inataka kuwa KUBWA. MTU kakualika umemfunga unaanza kumdhalilisha acheni uswahili😂
 
Maduka hayapo.
 
Hakuna beki anaweza kupambana na zile chezaji za yanga
 
Endelea kuchambua mchele lakini uchambuzi wa mpira waachie wanaojua kuucheza na enzi zao waliucheza kwa kiwango cha juu kama vile Ally Mayai Tembele, Dua Said nk!!
 
Lini Laban og aliwahi kuandika kitu cha mpira chenye logic?
 
BADO YANGA WANAENDELEA NA UCHAWI? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Endelea kuchambua mchele lakini uchambuzi wa mpira waachie wanaojua kuucheza na enzi zao waliucheza kwa kiwango cha juu kama vile Ally Mayai Tembele, Dua Said nk!!
Mtakosa madini sasa
 
Wale red arrows kama kocha sio kutaka kila mchezaji acheze kipangwe kikosi kweli kweli ata sita wangekula. Diara, yao, Kibabage (Boka) Job, baka, Aucho,Abuya, zengeli, pakome, Azizi Ki, Mzize(Dube,Baleke,Msonda). Tarehe 8 zikipungua 4 nipigwe Ban.
Nakiona kikosi hiki kikianza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…