CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Ndio, wote wamepona ila hawakuwa fit kuivaa MamelodiMan of the match was Gamondi.
Anyways vipi next leg Aucho na Pacome watacheza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, wote wamepona ila hawakuwa fit kuivaa MamelodiMan of the match was Gamondi.
Anyways vipi next leg Aucho na Pacome watacheza?
Tactics za jana kwa Yanga zilikuwa sawa, ukiwa inferior kwenye game usifunguke kipuuzi na jana Yanga walikuwa underdogs. Pressing high kungeifanya timu ichapwe mapema sana, mtego wa Mamelodi kocha wa Yanga aliuona na akacheza exactly inavyotakiwa.Simba na Yanga makele tu ueanjani 0
Duh hi hatua ina adabu kila mtu yuko makiniKama waliopata Mangungu Jobe Try Again FC.
View attachment 2949794
Nayeye anaenda kama shabiki wa Yanga.Hao ni makolo wananhangaika zaidi na yanga kuliko timu Yao.