Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya shirika la IFFHS kutoa takwimu za timu Bora ( miamba ya soka iliyofanya vizuri na Yanga kufanya vizuri kuwa nama 9 Africa nmetafakari ubora wa shirika hili.
Mafanikio ni ya Yanga mpaka kufikia no 9 Africa ni matokeo ya kufanya kazi kwa juhudi, Ubingwa ni matokeo ya uwekezaji sahihi, Uongozi bora na juhudi.
Yanga umecheza mechi za CAFCCL na kupoteza mechi Moja pia iliweka rekodi kubwa ya unbeaten
Hongereni sana Wananchi wote, ubingwa wa 29 tayari umepatikana, huu ndio mwanzo wa safari ya ubingwa wa 30, pia kuendelea kupanda chart Hadi kuwa no 1afrca au mnasemaje?
Rais wa mpira Mwenyewe Mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu ili Wananchi waendelee kufurahi.
NB: Maendeleo hayana Chama ......sio vibaya robertinho kujifunza Kwa prof Nabi