Uchambuzi: IFFHS ni shirika Bora la kutoa takwimu za soka

Uchambuzi: IFFHS ni shirika Bora la kutoa takwimu za soka

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya shirika la IFFHS kutoa takwimu za timu Bora ( miamba ya soka iliyofanya vizuri na Yanga kufanya vizuri kuwa nama 9 Africa nmetafakari ubora wa shirika hili.

Mafanikio ni ya Yanga mpaka kufikia no 9 Africa ni matokeo ya kufanya kazi kwa juhudi, Ubingwa ni matokeo ya uwekezaji sahihi, Uongozi bora na juhudi.

Yanga umecheza mechi za CAFCCL na kupoteza mechi Moja pia iliweka rekodi kubwa ya unbeaten

Hongereni sana Wananchi wote, ubingwa wa 29 tayari umepatikana, huu ndio mwanzo wa safari ya ubingwa wa 30, pia kuendelea kupanda chart Hadi kuwa no 1afrca au mnasemaje?

Rais wa mpira Mwenyewe Mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu ili Wananchi waendelee kufurahi.

NB: Maendeleo hayana Chama ......sio vibaya robertinho kujifunza Kwa prof Nabi

1684150913310.jpg
 
Mliokomenti wote ni wapuuzi na hamjui chochote kuhusu hizo takwimu za IFFHS ukweli ni kwamba hizo ni takwimu za mwezi wa pili 2022 hadi mwezi wa kwanza 2023 na sio takwimu za jumla za CAF zinazotolewaga kila mwaka.
 
Baada ya shirika la IFFHS kutoa takwimu za timu Bora ( miamba ya soka iliyofanya vizuri na Yanga kufanya vizuri kuwa nama 9 Africa nmetafakari ubora wa shirika hili

Mafanikio ni ya Yanga mpaka kufikia no 9 Africa ni matokeo ya kufanya kazi kwa juhudi, Ubingwa ni matokeo ya uwekezaji sahihi, Uongozi bora na juhudi.

Yanga umecheza mechi za CAFCCL na kupoteza mechi Moja ......pia iliweka rekodi kubwa ya unbeaten

Hongereni sana Wananchi wote, ubingwa wa 29 tayari umepatikana, huu ndio mwanzo wa safari ya ubingwa wa 30, pia kuendelea kupanda chart Hadi kuwa no 1afrca au mnasemaje?

Rais wa mpira Mwenyewe Mungu azidi kukupa afya njema na maisha marefu ili Wananchi waendelee kufurahi.

NB: Maendeleo hayana Chama ......sio vibaya robertinho kujifunza Kwa prof Nabi View attachment 2622699
Mimi ni Yanga lakini nawasiwasi na hizi taarifa
Siwaoni Experance, Raja, Belozdad, Orlando Pirates
 
Kumbe ni shirika tu kama shirika la sukari morogoro nalo likaamua kutoa list ya waramba sukari, mimi nikajua CAF wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kunywa mrembo wangu kiu hua hakina masihara..
Manake haya matakwimu kwa hii Yanga ndio yameanza Sasa na kuisha sijui itakua mwaka gani labda ugeuke Ngamia ndio utaipuka hichi kikombe cha matakwimu cha Yanga.
Naskia pia kuna shambuliaji linawindwa pale Kwa madiba na yanga
 
mliokomenti wote ni wapuuzi na hamjui chochote kuhusu hizo takwimu za IFFHS ukweli ni kwamba hizo ni takwimu za mwezi wa pili 2022 hadi mwezi wa kwanza 2023 na sio takwimu za jumla za CAF zinazotolewaga kila mwaka.
Kunywa maji mkuu
 
Kumbe ni shirika tu kama shirika la sukari morogoro nalo likaamua kutoa list ya waramba sukari, mimi nikajua CAF wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama TFF na bodi ya legue
 
Back
Top Bottom