Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
REKODI ZAIBEBA AL AHLY NYUMBANI, ZAIBANA SIMBA SC VIWANJA VYA UGENINI.

Rekodi ya Al Ahly ikiwa nyumbani ni nzuri kwani haijapoteza mchezo wowote tangu Mei mwaka jana katika michuano yote, ukiondoa kipigo cha 1-0 kutoka kwa USM Alger katika mechi ya CAF Super Cup ambao wao walikuwa wenyeji ila ikichezwa Uwanja wa usio na mwenyewe..

Mechi ya marudiano ya Al Ahly na Simba itapigwa Ijumaa ijayo jijini Cairo kuanzia saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na mshindi wa jumla atatinga nusu fainali kuumana na mshindi wa robo fainali nyingine kati ya Esperance ya Tunisia na Asec Mimosas ya Ivory Coast zilizokuwa zikicheza jana usiku.

Pia Simba haina rekodi nzuri kwa mechi za ugenini za kimataifa, hasa Kwa waarabu

Kwani kwa msimu huu pekee katika mechi nne ilizocheza hadi kufika robo fainali, haikushinda hata moja zaidi ya kufungwa na
Je Al Ahly yupo tayari safari yake ya kwenda nusu fainali isitishwe na Simba Sc na kuandika rekodi ya kufungwa wakiwa kwao Misri ?!!!
Huu utakuwa ni wendawazimu kuamini Simba atatoboa[emoji22]


Tafsiri ya picha hapo juu

Kolo before match alijiamini ataenda mpasua Al ahly......
Unfortunately akakutana na kipigo ...hapo.baada ya kukandwa kolo alijifcha Kwa muda ./ Ailitokome[emoji23][emoji23]

Then kolo wote wajiunga Kwa mamelodi [emoji23][emoji23] Ili ashinde ..then u all know what real happened....[emoji23][emoji23]
 
Sisi Yanga tutatoboa, Pacome atacheza . Tuwaache Simba wapambane na hali zao . Benchkha hana mbinu za kumfunga Al ahly nyumbani .
 
Sisi Yanga tutatoboa, Pacome atacheza . Tuwaache Simba wapambane na hali zao . Benchkha hana mbinu za kumfunga Al ahly nyumbani .
Kina saido ...mbna wapo mkuu
 
Simu zilikuwa na charge Ila hazikuwa na bando so hazikupigwa, kamwe badala yake walipigwa virungu na mabomu ya machozi[emoji23][emoji23]
[emoji23]

Ali Kamwe anajua kucheza na akili za [emoji196][emoji196]
Shida ndogo ndogo kama hizo ....uwe unanicheki mkuu....Ili Niku finance
 
Simu zilikuwa na charge Ila hazikuwa na bando so hazikupigwa, kamwe badala yake walipigwa virungu na mabomu ya machozi[emoji23][emoji23]
[emoji23]

Ali Kamwe anajua kucheza na akili za [emoji196][emoji196]
Ukiweka ushabiki maandazi kiuhalisia Utopolo na Makolokolo wameshatoka ila sababu mpira hudunda kwa matokeo ya aina 3, tuwe na akiba za maneno.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Shida ndogo ndogo kama hizo ....uwe unanicheki mkuu....Ili Niku finance
Amphibian mpenda dezo kula kulala kwa shemejie hahahaaa, tumia hela ulinayo uruke hadi sauzi kushuhudia kuzaliwa kwa Mwakarobo jr huko Pretoria πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unatoa hoja/swali alafu unajijibu mwenyewe. Waswahili tukiamka na hangover tuna shida sana
 
Mkiongea kiushabik sawa mnashinda,,

Lakin baada ya game lawama kwa kocha,wachezaji ama kwa refa,,
Huwa mnasahau ni binadam pia,

Ila yote kwa yote tusubiri tujionee,
Utawaambia nn au Utaandika nn hyo cku πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…