Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

REKODI ZAIBEBA AL AHLY NYUMBANI, ZAIBANA SIMBA SC VIWANJA VYA UGENINI.

Rekodi ya Al Ahly ikiwa nyumbani ni nzuri kwani haijapoteza mchezo wowote tangu Mei mwaka jana katika michuano yote, ukiondoa kipigo cha 1-0 kutoka kwa USM Alger katika mechi ya CAF Super Cup ambao wao walikuwa wenyeji ila ikichezwa Uwanja wa usio na mwenyewe..

Mechi ya marudiano ya Al Ahly na Simba itapigwa Ijumaa ijayo jijini Cairo kuanzia saa 5:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki na mshindi wa jumla atatinga nusu fainali kuumana na mshindi wa robo fainali nyingine kati ya Esperance ya Tunisia na Asec Mimosas ya Ivory Coast zilizokuwa zikicheza jana usiku.

Pia Simba haina rekodi nzuri kwa mechi za ugenini za kimataifa, hasa Kwa waarabu

Kwani kwa msimu huu pekee katika mechi nne ilizocheza hadi kufika robo fainali, haikushinda hata moja zaidi ya kufungwa na
Je Al Ahly yupo tayari safari yake ya kwenda nusu fainali isitishwe na Simba Sc na kuandika rekodi ya kufungwa wakiwa kwao Misri ?!!!
Huu utakuwa ni wendawazimu kuamini Simba atatoboa[emoji22]View attachment 2951227

Tafsiri ya picha hapo juu

Kolo before match alijiamini ataenda mpasua Al ahly......
Unfortunately akakutana na kipigo ....

Then kolo wote wajiunga Kwa mamelodi [emoji23][emoji23] Ili ashinde ..then u all know what real happened....[emoji23][emoji23]
Aaahaaaa

Nakuona chambuzi la kimataiafa
 
Katika timu zote ni Simba tu kapigika tena kwake.
Asec mimosa ni bora kuliko Simba.
Asec kamkazia Esperance kwao Tunisia.
Ilhali wewe simba umepigwa kwako,unadhani kwa Pharaoh utapona??
Yanga tulipoenda Cairo tulibadilikiwa na wale waarabu mpaka sikuamini kama ndio tulicheza nao Mkapa.

Yanga ni Timu ndogo hata Kumi Bora CAF haimo, unashangaa kubadilikiwa na Al ahly?

Subiri Mabadiliko mengine Kutoka Kwa Mamelodi huko SA ijumaa hii...!sikutishi ndo Ukweli.!
 
Msimu huu kuna jambo la ajabu litaenda tokea.
Maana timu kubwa zimekaziwa sana hatua hii.
We hadi Esperance kashindwa kumfunga Asec mimosa kwake!!??
Utawala wa waarabu ngazi ya Afrika ushaanza kwisha

Naona ya Afcon yanaenda kutokea
 
Ah washatoka wachezaji hawana hawa.
Ila walivyo wajinga watashughulishwa na Yanga kuliko timu lao kolouzdad.
Katika hii hatua timu zimekaza TP mazembe imemkazia Petro De Luanda.
Asec imemkazia Esperance akiwa kwa Tunisia.
Nina wasi wasi kuna timu kubwa nyingi kutoka na kuaga mashindano.
Nina wasi wasi sana.
Lazima tu timu zitoke mkuu
 
Yanga ni Timu ndogo hata Kumi Bora CAF haimo, unashangaa kubadilikiwa na Al ahly?

Subiri Mabadiliko mengine Kutoka Kwa Mamelodi huko SA ijumaa hii...!sikutishi ndo Ukweli.!
Kama unatizama rank pasi na kutizama current performance utakua ni kichaa.
Mbona wewe uliye kumi bora ulishindwa kumfunga Asec Mimosa??
Wewe na Asec nani yupo juu??
Mbona Esperance kashindwa mfunga Asec ambaye kamzidi rank tena esperance akiwa nyumbani???
Belouzdad tulimfunga 4 na katuzidi rank hapo unasemaje??
Wewe uliye juu umeshindwa kujihimili nyumbani ukafungwa hata Asec kakushinda kasare ugenini.
ONGEA MPIRA USIROPOK.
 
We Timu Bolu possession 20% kwa 80% , mmeshikilia bomba Mwanzo Mwisho mkiwa Kwenu.... Huyu atakukosa vipi ukienda Kwake?

Asec Mimosa alishikilia bomba ,Lkn alikuwa ugenini..! Msipende kujicompare nyie Utopolo..!
 
Kama unatizama rank pasi na kutizama current performance utakua ni kichaa.
Mbona wewe uliye kumi bora ulishindwa kumfunga Asec Mimosa??
Wewe na Asec nani yupo juu??
Mbona Esperance kashindwa mfunga Asec ambaye kamzidi rank tena esperance akiwa nyumbani???
Belouzdad tulimfunga 4 na katuzidi rank hapo unasemaje??
Wewe uliye juu umeshindwa kujihimili nyumbani ukafungwa hata Asec kakushinda kasare ugenini.
ONGEA MPIRA USIROPOK.
Umeongea point sana
 
Katika sifa za kiume ni lazima uwe na moyo wa kutokukata tamaa ktk changamoto zozote za maisha..
King lion never give up.

Simba atashinda 2--0 .

Save my comment.
 
Hata kocha wa Al Ahly akiwa Simba hawezi kuitoa Al Ahly pia. Tatizo sio kocha ni una wachezaji wa kiwango gani na ubora upi?
Simba msimu huu usajili haukuwa mzuri na isitoshe wachezaji tegemezi ni wale wale miaka tano sasa ingizo jipya hawana uzuri isipokuwa wachache labda wawili tena cha kawaida mno.
Yanga nimeamini wana kocha mzuri saana na kafanya wachezaji kucheza kwa kufurahia kwa umoja mfano. Mudathir, Mkude,Mzize ni wa kawaida mno lakini kaweka umoja mshikamano collective playing. Illa nao Yanga wakipotea kidogo hassa kocha na uongozi wana wachezaji wa kawaida mno, uzuri wana umoja.
Simba umoja upo mdomoni sana wana watu ndani wana ghubu.
Simba itaondolewa na Yanga pia.
Illa Mpira wa,Yanga hautabiriki huenda kwa asilimia chache wakafunga hata goli moja halafu mchezo ukawa mgumu kwa Mamelodi. Simba mpaka afunge goli Cairo apate nafasi tano... ambazo ngumu saana. Yote kwa yote siku chache zijazo ndio muamuzi.
Killa la heri Simba na Yanga.
Sahihi Mkuu....maingizo hayajafanya vizuri
 
Kama unatizama rank pasi na kutizama current performance utakua ni kichaa.
Mbona wewe uliye kumi bora ulishindwa kumfunga Asec Mimosa??
Wewe na Asec nani yupo juu??
Mbona Esperance kashindwa mfunga Asec ambaye kamzidi rank tena esperance akiwa nyumbani???
Belouzdad tulimfunga 4 na katuzidi rank hapo unasemaje??
Wewe uliye juu umeshindwa kujihimili nyumbani ukafungwa hata Asec kakushinda kasare ugenini.
ONGEA MPIRA USIROPOK.

Ukikua ukawa mkubwa utaacha comparison Za Kitoto...!
 
Back
Top Bottom