Uchambuzi: Je, kuna watu wanaamini Simba itashinda kule Egypt?

Huko wanaenda kukanyagwa mbaya.
 
Timu ndogo Kuliko Zote zilizo ingia Robo ndo inaenda kukandwa huko SA....!

Sasa pekua pekua kwenye Ranks za CAF uone timu ndogo ni ipi hapo...!

CAF sometimes Wachonganishi...!
 
Mamelod hapa walikuwa wanafanya mazoezi, ndio maana ni kama Walikuwa na Dharau Fulani kwa Forward za Yanga.
Kipa wa Mamelodi alikuwa anatoka golini na kwenda ndani akijua kuwa washambuliaji wa 🐸🐸ni walevi hawawezi kumfunga na ndio maana alicheza kwa kuwadharau kabisa.

Ukiwauliza 🐸🐸kwa nini hawakumfunga kipa aliyewadharau wakiwa nyumbani watakujibu pacome hakucheza 😂😂😂
 
Wa kwanza ni Mangungu na Try Again.
 
Timu ndogo Kuliko Zote zilizo ingia Robo ndo inaenda kukandwa huko SA....!

Sasa pekua pekua kwenye Ranks za CAF uone timu ndogo ni ipi hapo...!

CAF sometimes Wachonganishi...!
Kuna timu imeingia Kwa mbeleko ya Yanga na imekandwa na Al ahly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…