Wakifungwa watasema walipata msibaTena ule wa PPF kabisa.
Cairo kuna majamvi na mabusati hakuna meza.Kubet Simba apindue meza ni kupoteza hela yako
Mpaka hapo washajichanganya.Wakifungwa watasema walipata msiba
😂Mpaka hapo washajichanganya.
Wameanza jichanganya waliposema wanaenda pindua meza ilhali Cairo kuna mabusati.
Maskini huyo ana uwezo wa kwenda south africa? Yeye na makapuku wenzie akina nalia mgwena sjui wao wabaki hapa hapa jamii forums kupiga domoAmphibian mpenda dezo kula kulala kwa shemejie hahahaaa, tumia hela ulinayo uruke hadi sauzi kushuhudia kuzaliwa kwa Mwakarobo jr huko Pretoria [emoji23][emoji23]
Inawezekana wewe ndiye ukapimwe kwani inaonyessha hujui kuwa mpira huchezwa kwa dakika tisini na ndani ya muda huo matokeo yoyote yanawezekana. Wenye akili tunaamini kuwa Al-Ahly atakuwa na adabu asimguse chuchu mai wetu.Huyo anayeamini hivyo akapimwe akili kwanza
Hata kama mkuu...it's impossibleInawezekana wewe ndiye ukapimwe kwani inaonyessha hujui kuwa moira huchezwa ka dakika tisini na ndani ya muda huo matokeo yoyote yanawezekana. Wenye akili tunaamini kuwa Al-Ahly atakuwa na adabu asimguse chuchu mai wetu.
Ndoto za kolo mmojaInawezekana wewe ndiye ukapimwe kwani inaonyessha hujui kuwa mpira huchezwa kwa dakika tisini na ndani ya muda huo matokeo yoyote yanawezekana. Wenye akili tunaamini kuwa Al-Ahly atakuwa na adabu asimguse chuchu mai wetu.